Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Baada ya kushindwa kuvaa viatu vya mtangulizi wake, sasa ndo DAMAGE CONTROL mnaifanya mitandaoni ili kushift blames?1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema...
Ipo hivi.
Miradi haikuwa ya Magufuli bali ilani ya CCM ambayo kura ziliibwa na dola kuwapatia nafasi hicho chama kutekeleza ilani yake. Je hayo yote aliyoyaanzisha hayakuwepo kwenye manifesto ya chama?
Hapa mbaya wetu siyo Magufuli wala Mama, mbaya wa Tanzania ni mfumo ulioshindwa wa CCM. Haiwezekani dola ikawa ndo chama na chama kikawa dola. Ikiwa wanandoa hawajitambui basi ndoa yao inaleta tafrani kwenye familia
CCM imeshindwa ndo maana inaokoteza okoteza viongozi na wateule kutoka pakacha lililochina