Jiwe alikuwa anaapishia viongozi mpk kijijini kwake Chato. Mwigulu Nchemba aliapidhiwa chumbani kwa jiwe, Chato.Tena alikurupuka sana
Yeye magu hakuleta hasara alivyokua anaapisha Dom..?!maana watu walikua wanatoka Dar kwenda Dom
Na kweli, alivyokufa tuu fastaa wakaanzia kwenye maandalizi ya mazishi yakeKama alizichuma hizo mali kwa njia ya wizi na alitumia mamlaka kuzilimda basi jua akifa lazima waliyoibiwa wachukue chao
Babu Dude limewashwa majuzi likazimwa na umeme zimeanza pigo unakatika hovyo hovyoKwenye umeme ungenyamaza kabisa,kipindi hiyo mwl nyerere haiwasha unakumbuka tulivyoteseka na mgao wa mpaka usiku wa manane?
Una mihemko brother hakuna aliyenunua mabehewa mabovu ningejaribu kukupa uelewa na hilo ila kwa bahati mbaya zaidi tayari kuna kitu umejijengea katika uelewa wako.Kwani hile mibeewa used Nani aliagiza alafu tuendelee na usimamizi
Mtazamo wa kuhamisha makao makuu ya serikali kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma ulikuwepo tokea kipindi Tanganyika imepata uhuru na hayakuwa tu ni mawazo ya Nyerere.Mkuu huwezi kupambana na nature, yeye alijaribu kupambana nayo ndiyo maana baada ya kufa kila kitu kinarudi mahala pake. Kuhamia Dodoma lilikuwa jambo la kukurupuka sana. Ndiyo maana kila siku viongozi utawakuta wako Dar kwa sababu Dar kiuhalisia na kimatakwa ndiyo inapaswa kuwa makao makuu.
Ana akili gani? Huyonl ni mtoto mdogo na hajui chochote. Unapoanza jambo productive usifikiri mambo yatakuwa mteremko. Hata unapozaa watoto utashangaa wengine wanakuwa na tabia za hovyo na hiyo haimaanishh kuwa kuwa na watoto ni jambo baya. Lazima uwe na mipango ya kumitigate matatizo yanapotokeaMleta mada hujakosea kitu. Sikufahamu ila unaonekana una akili sana.
Ukiendeshwa na chuki utaishia kuumia na mwishowe watu kama ninyi wanakuwa magaidiAkikusikia Halima Mdee atakucheka Sana [emoji23][emoji23][emoji91]
Ununuzi wa ndege na kuhamia Dodoma ndiye miradi isiyokuwa na tija, SGR na bwawa la Nyerere ni miradi mizuri kama ingefanywa kwa utaratibu mzuri na ikapata watu sahihi wa ikasimamiwa vyema.
Kichwa kikubwa kisicho na akili ni mzigo kwa mwili.1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Hujuma !1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Hata huko mtera wameyaacha maji yajae kupita kiasi ili mitambo izimike !Kuna vichwa vinawaza kwakutumia makalio" in Masaburi voice.
Hivi sisi ni wa kwanza kujenga bwawa la umeme duniani? Mbona kwa wenzetu yanafanya vizuri?
Je sisi ni wakwanza kuwa na SGR?
Sisi ni wa kwanza kuwa na ndege?
Mbona mashirika ya wenzetu hayafi?
Mleta mada ni mtu wa kipekee sana!
Hujuma zinafanyika wazi wazi ili waletwe wawekezaji. Ili miradi ya serikali wakimiliki wao wenyewe kwa mgongo wa uwekezaji.
Kuhusu bwana la umeme wenye akili walishajua baada ya mwamba kufa huu mradi lazima utahujumiwa.
Umeme ukipatikana wakina IPTL, Symbion na ndugu zao watakula wapi?
Kulikuwa na haja ya kuanzisha TANOIL, kwa mfano?Mimi nipeni TANOIL na TRC mwone kama tutaingia hasara tena.
Unaingiaje hasara kwenye biashara ya vituo vya mafuta?
Unaingiaje hasara kwenye reli?
Endeleeni kula mitaji ambayo serikali inawekeza kwenye hizo taasisi maana hamna hasara.
Ingekua ni biashara zenu binafsi sidhani kama mngeingia hasara.
Noma kweli yaani !1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Anamtesaje?Marehemu hasemwi vibaya lkn yule jamaa alikua anakurupuka sana matokeo yake anamtesa mama Sasa na madeni na hasara alizotuachia
Kabla ya hapo hizo zahanati hazikuwepo?Mama kajenga vituo cha afya kila wilaya hapa kwa fedha za uviko.
. Pia amemtua mama ndogo kichwani. Unasemaje juu ya haya?