Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Tena alikurupuka sana

Yeye magu hakuleta hasara alivyokua anaapisha Dom..?!maana watu walikua wanatoka Dar kwenda Dom
Jiwe alikuwa anaapishia viongozi mpk kijijini kwake Chato. Mwigulu Nchemba aliapidhiwa chumbani kwa jiwe, Chato.
Jiwe alikuwa mshenzi sana huyu.
 
Kama alizichuma hizo mali kwa njia ya wizi na alitumia mamlaka kuzilimda basi jua akifa lazima waliyoibiwa wachukue chao
Na kweli, alivyokufa tuu fastaa wakaanzia kwenye maandalizi ya mazishi yake
 
Kwani hile mibeewa used Nani aliagiza alafu tuendelee na usimamizi
Una mihemko brother hakuna aliyenunua mabehewa mabovu ningejaribu kukupa uelewa na hilo ila kwa bahati mbaya zaidi tayari kuna kitu umejijengea katika uelewa wako.
 
Mkuu huwezi kupambana na nature, yeye alijaribu kupambana nayo ndiyo maana baada ya kufa kila kitu kinarudi mahala pake. Kuhamia Dodoma lilikuwa jambo la kukurupuka sana. Ndiyo maana kila siku viongozi utawakuta wako Dar kwa sababu Dar kiuhalisia na kimatakwa ndiyo inapaswa kuwa makao makuu.
Mtazamo wa kuhamisha makao makuu ya serikali kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma ulikuwepo tokea kipindi Tanganyika imepata uhuru na hayakuwa tu ni mawazo ya Nyerere.

Sababu zilizopelekea Nigeria kuhamisha serikali kutoka lagos kwenda Abuja ndio hizo hizo zilizopelekea serikali ya Tanzania kuhamia Dodoma.

Au unadhani wabrazil ni wajinga kuhamisha serikali yao kutoka jiji kubwa na zuri kama Rio de Janeiro na kwenda Brasilia.
 
Mleta mada hujakosea kitu. Sikufahamu ila unaonekana una akili sana.
Ana akili gani? Huyonl ni mtoto mdogo na hajui chochote. Unapoanza jambo productive usifikiri mambo yatakuwa mteremko. Hata unapozaa watoto utashangaa wengine wanakuwa na tabia za hovyo na hiyo haimaanishh kuwa kuwa na watoto ni jambo baya. Lazima uwe na mipango ya kumitigate matatizo yanapotokea
 
Ununuzi wa ndege na kuhamia Dodoma ndiye miradi isiyokuwa na tija, SGR na bwawa la Nyerere ni miradi mizuri kama ingefanywa kwa utaratibu mzuri na ikapata watu sahihi wa ikasimamiwa vyema.

Hamia dar tena, hamna aliyekuzuia
 
Kuna vichwa vinawaza kwakutumia makalio" in Masaburi voice.

Hivi sisi ni wa kwanza kujenga bwawa la umeme duniani? Mbona kwa wenzetu yanafanya vizuri?

Je sisi ni wakwanza kuwa na SGR?
Sisi ni wa kwanza kuwa na ndege?
Mbona mashirika ya wenzetu hayafi?
Mleta mada ni mtu wa kipekee sana!

Hujuma zinafanyika wazi wazi ili waletwe wawekezaji. Ili miradi ya serikali wakimiliki wao wenyewe kwa mgongo wa uwekezaji.
Kuhusu bwana la umeme wenye akili walishajua baada ya mwamba kufa huu mradi lazima utahujumiwa.
Umeme ukipatikana wakina IPTL, Symbion na ndugu zao watakula wapi?
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Kichwa kikubwa kisicho na akili ni mzigo kwa mwili.
kijana unautesa mwili wako sababu ya bichwa lako kubwa lisilo na akili
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Hujuma !
Mwendazake amewashika watu pabaya !
 
Kuna vichwa vinawaza kwakutumia makalio" in Masaburi voice.

Hivi sisi ni wa kwanza kujenga bwawa la umeme duniani? Mbona kwa wenzetu yanafanya vizuri?

Je sisi ni wakwanza kuwa na SGR?
Sisi ni wa kwanza kuwa na ndege?
Mbona mashirika ya wenzetu hayafi?
Mleta mada ni mtu wa kipekee sana!

Hujuma zinafanyika wazi wazi ili waletwe wawekezaji. Ili miradi ya serikali wakimiliki wao wenyewe kwa mgongo wa uwekezaji.
Kuhusu bwana la umeme wenye akili walishajua baada ya mwamba kufa huu mradi lazima utahujumiwa.
Umeme ukipatikana wakina IPTL, Symbion na ndugu zao watakula wapi?
Hata huko mtera wameyaacha maji yajae kupita kiasi ili mitambo izimike !
 
Mimi nipeni TANOIL na TRC mwone kama tutaingia hasara tena.
Unaingiaje hasara kwenye biashara ya vituo vya mafuta?
Unaingiaje hasara kwenye reli?

Endeleeni kula mitaji ambayo serikali inawekeza kwenye hizo taasisi maana hamna hasara.

Ingekua ni biashara zenu binafsi sidhani kama mngeingia hasara.
Kulikuwa na haja ya kuanzisha TANOIL, kwa mfano?

Serikali ya Tz hata ingekuwa na visima vya mafuta kama vya Urusi au Saudia iviendeshe yenyewe obviously ingepata hasara ya mabilioni.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Noma kweli yaani !
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Marehemu hasemwi vibaya lkn yule jamaa alikua anakurupuka sana matokeo yake anamtesa mama Sasa na madeni na hasara alizotuachia
Anamtesaje?

Ndio maana nakwambia miradi itafeli sababu ya akili visoda
 
Mama kajenga vituo cha afya kila wilaya hapa kwa fedha za uviko.

. Pia amemtua mama ndogo kichwani. Unasemaje juu ya haya?
Kabla ya hapo hizo zahanati hazikuwepo?

Yani mpaka ajenge kwa fedha za uviko?

Alafu zahanati ina tofauti gani na shule ya kata?

Nataka mimi nitajie mradi wowote wa uma unaoendeshwa kwa ufanisi
 
Back
Top Bottom