Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Ukiwa na ubungo wa kuku utaweza kusolve matatizo ya muda mfupi kama ubungo wa mwandishi.... akili ya sawa na ya nzi wa chooni fupi sana

Bwawa la umeme mafuriko ni swala la kuwahamisha watu kupisha mradi mambo yanaendelea umeme utasaidia taifa kwa miaka zaid 100 kutoka hapo bwawani nyerere hao wananchi pia watafanya uvuvi kama kule mtera

Reli sasa reli ishajengwa wajukuu wataleta vichwa vya kisasa maana reli hii ni standard so usifikirie itahumudia kizazi chako tu

Makao makuu dodoma ni strategic location kiulinzi na usalama wa nchi pia kufikika koz ni katikati ya nchi .....ndo maana hata Egypt wahamisha makao makuu pia nigeria from lagos to abuja na nchi kibao huamisha sio tanzania tu

Narudia tena ukiona mtu anapinga miradi ya long term plan ujue ubongo wake ni wakuku kama sio wa sisimizi anawaza kizazi kimoja tu .....mfano reli walio jenga wagermani inaenda kigoma imehumudia vizazi vingapi sasa mwandishi ni TABULASA FLANI LA JAMII FORUM ....LIMETOKA FACEBOOK LIMEKUJA KUANDIKA UTOPOLO
 
Angalia likes kwenye uzi ndiyo utajua kuwa wewe ndiyo mweupe kichwani. Unatetea ujinga kwa hoja za kitoto
 
Kwa mawazo yako, ni miradi ya hasira ?.

Na nini unapendekeza kingefanyika kama mbadala wa miradi hiyo??.

Umeandika utumbo ,alafu mwishoni unasema "Ngoja niishie hapa".

Wajinga wenzio wakisoma hiyo neno "Ngoja niishie hapa"..watakuona kichwan una akili, kumbe wote ni wajinga.
 
Angalia likes kwenye uzi ndiyo utajua kuwa wewe ndiyo mweupe kichwani. Unatetea ujinga kwa hoja za kitoto
Kumbe wee ni kijinga hivi, ndio maana nmekuambia wajinga wenzio wakisoma ,watakuona unaakili kumbe una maujinga

Kwan wanaokupigia makofi wote unakuta wanakupongeza?.

Umeandika utumbo , huna familia nini? Au Yahaya unaishi wapi?.
 
Treni tutapanda hata itumie masaa 10. Ni mara 1000 nipande treni kuliko kupanda basi kwa madereva hawa walevi na wavuta bangi wanaokimbizana barabarani na kuovertake bila sababu. Shubaamit
 
Angalia likes kwenye uzi ndiyo utajua kuwa wewe ndiyo mweupe kichwani. Unatetea ujinga kwa hoja za kitoto
Umeweka uzi kutafuta likes[emoji706] , baadhi ya waliokupa like wamekupopoa
 
Angalia likes kwenye uzi ndiyo utajua kuwa wewe ndiyo mweupe kichwani. Unatetea ujinga kwa hoja za kitoto
Angalia comments na spana unazo kula..ndo utajua wewe ni zezeta fula yaani jinga fulani au tuseme taka taka fulani tu limeandika utumbo .....miradi unahisi ina save kizazi kimoja tu
 
Wewe na ukoo wako wote mnapatwa ....baba yako Kashindwa hata kuanzisha bustani ya mchicha unaongelea miradi ya Jembe?....aisee wewe ni bata
 
Hili daraja la Busisi ndiyo kimeo kweli kweli. Yaani mabilioni yametumika kujenga daraja linaloenda ukweni kwa jiwe tu??! Jiwe alikuwa mjinga sana
Kubali tu na anza upya, kutumbuliwa kwako na JPM kusikufanye uwe na chuki naye milele.
 
Hili daraja la Busisi ndiyo kimeo kweli kweli. Yaani mabilioni yametumika kujenga daraja linaloenda ukweni kwa jiwe tu??! Jiwe alikuwa mjinga sana
Kubali tu na anza upya, kutumbuliwa kwako na JPM kusikufanye uwe na chuki naye milele.
 
Kumbe wee ni kijinga hivi, ndio maana nmekuambia wajinga wenzio wakisoma ,watakuona unaakili kumbe una maujinga

Kwan wanaokupigia makofi wote unakuta wanakupongeza?.

Umeandika utumbo , huna familia nini? Au Yahaya unaishi wapi?.
Jiwe alikuwa mkurupukaji mno kwasabb ya ushamba wake. Alianzisha miradi ya kiupigaji kwa faida ya vikampuni vyake vya ujenzi. Ametuachia majanga tupu. Mama anahangaika na upumbavu ulioachwa na jiwe
 
Wewe na ukoo wako wote mnapatwa ....baba yako Kashindwa hata kuanzisha bustani ya mchicha unaongelea miradi ya Jembe?....aisee wewe ni bata
Suala siyo kuanzisha, ni je, unachoanzisha kina tija? Sijui unaelewa wewe sukuma gang?
 
Kubali tu na anza upya, kutumbuliwa kwako na JPM kusikufanye uwe na chuki naye milele.
Hakuna alichofanya. Jiwe Mama amepindua almost kila ujinga uliofanywa na mpuuzi huyu lkn damage alioiacha ni kubwa mno. Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
 
Aisee ni aibu.
-Bwawa ndio Hilo linaleta Mafuriko na wamezima mitambo
-Daraja la Kigongo-Busisi limejaa harufu ya Rushwa CAG alisema taratibu za Manunuzi hazikufuatwa kumbuka Jiwe alikuwa hataki Kufuata sheria
-ATCL hasara ndio kwao
-TRC huko jiandaeni Kisaikolojia Hadi Yesu anarudi itakuwa ni hasara tupu.
-Mkulazi na Kiwanda Cha Ngozi ni hasara mwaka wa 4 mfululizo.

My Take uliwahi ona wapi pension funnds eti Zinawekeza kwenye miradi ya high risks kama Kilimo na manufacturing? Upumbavu huu ulifanywa na awamu ya 5

View: https://youtu.be/GclyWwuXeyk?si=v8VderQ1xcbWSWFL
 
Reactions: G4N
Daah! Kuna haja ya kumfufua huyu jiwe ili apewe kipondo mpk afe tena. Ameligharimu taifa pakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…