Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Ukiwa na ubungo wa kuku utaweza kusolve matatizo ya muda mfupi kama ubungo wa mwandishi.... akili ya sawa na ya nzi wa chooni fupi sana1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Bwawa la umeme mafuriko ni swala la kuwahamisha watu kupisha mradi mambo yanaendelea umeme utasaidia taifa kwa miaka zaid 100 kutoka hapo bwawani nyerere hao wananchi pia watafanya uvuvi kama kule mtera
Reli sasa reli ishajengwa wajukuu wataleta vichwa vya kisasa maana reli hii ni standard so usifikirie itahumudia kizazi chako tu
Makao makuu dodoma ni strategic location kiulinzi na usalama wa nchi pia kufikika koz ni katikati ya nchi .....ndo maana hata Egypt wahamisha makao makuu pia nigeria from lagos to abuja na nchi kibao huamisha sio tanzania tu
Narudia tena ukiona mtu anapinga miradi ya long term plan ujue ubongo wake ni wakuku kama sio wa sisimizi anawaza kizazi kimoja tu .....mfano reli walio jenga wagermani inaenda kigoma imehumudia vizazi vingapi sasa mwandishi ni TABULASA FLANI LA JAMII FORUM ....LIMETOKA FACEBOOK LIMEKUJA KUANDIKA UTOPOLO