Bwawa la umeme la JK Nyerere, Ndege,daraja la JPM na SGR hivi vina tija kubwa vikiendeshwa kwa weledi na kibiashara na vinagusa uchumi na maisha ya wananchi kwa ujumla. Ni viashiria vya maendeleo.Kwamba dar to moro ni km 300!!! 😂
SGR na bwawa la umeme ni miradi yenye tija, shida imefanywa kisiasa na kiupigaji ndio tatizo lilipo.
Una mawazo kama yangu. Umeme wa uhakika na usafiri wa treni katika nchi yoyote ni mambo muhimu sana. Hii miradi hata mimi niliiunga mkono kwa nguvu zote ila tatizo ni kuwa ilifanywa kwa pupa, kibabe na ki-mhemko zaidi. Ndege ilikuwa ni uamuzi wa kipuuzi sana na nina uhakika hautadumu kwa sababu ulifanywa bila upembuzi yakinifu na bila kujua ni kwa nini tulikuwa tumefeli kipindi cha nyuma. Dodoma ndiyo kabisaa, hakukuwa na umuhimu wowote wa kuongeza gharama za serikali kwani sababu za makao makuu kuwa Dodoma hazi-exist tena kwenye hii karne ya sasa.Ununuzi wa ndege na kuhamia Dodoma ndiye miradi isiyokuwa na tija, SGR na bwawa la Nyerere ni miradi mizuri kama ingefanywa kwa utaratibu mzuri na ikapata watu sahihi wa ikasimamiwa vyema.
Leo ndio nimeamini una akili ndogo sana 😂😂😂😂😂Sio tuu bwawa limeleta Mafuriko ila hata speed ya maji yakiwa mengi yanayoingia yanasababisha mashine kujizima Sasa sijui control ya maji haipo au vipi.
Inamaana mpaka hapo hakuna uhakika wa reliable electricity
Huko kwingine ni maumivu Hadi Yesu anarudi 😁😁
Wewe mwenye akili kubwa tuoneshe faida ya hiyo miradi badala ya kujichekeshaLeo ndio nimeamini una akili ndogo sana 😂😂😂😂😂
Katika zama hizi za tabianchi huwezi kupata umeme wa uhakika kupitia vyanzo vya maji yatokanayo na mvua.Una mawazo kama yangu. Umeme wa uhakika na usafiri wa treni katika nchi yoyote ni mambo muhimu sana.
Kwa uzoefu wangu, nchi nyingi ambazo ziko stable kwa umeme, huwa zinakuwa na sources nyingi. Hivyo basi, kutegemea source moja ni kosa. Tafakari: tunaweza kuwa na vyanzo vingi ili kuwa na umeme wa uhakika.Katika zama hizi za tabianchi huwezi kupata umeme wa uhakika kupitia vyanzo vya maji yatokanayo na mvua.
Jiwe alikuwa hana akili, alipaswa kutengeneza miradi ya umeme utokanao na upepo ama jua ambayo hata gharama zake ni ndogo.
Mleta mada anafikiri Kwa kutumia makalio1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Wewe uanayefikiri kwa kutumia kichwa mbona umeshindwa kupanga hoja kwa kuleta hoja?Mleta mada anafikiri Kwa kutumia makalio
Matako ya bibiako, Mnapaswa kuona ainsi nyie vilaza wala rushwa mlioshindwa kuendeleza miradi kwa ifanisi. Mbgemuacha alafu muone kazi, Matako we1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Lack of vision and exposure will eliminate you naturally!Mkuu huwezi kupambana na nature, yeye alijaribu kupambana nayo ndiyo maana baada ya kufa kila kitu kinarudi mahala pake. Kuhamia Dodoma lilikuwa jambo la kukurupuka sana. Ndiyo maana kila siku viongozi utawakuta wako Dar kwa sababu Dar kiuhalisia na kimatakwa ndiyo inapaswa kuwa makao makuu.
Bwawa la umeme asbh na mapema tayari limefeli dah my country Tañzania1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Uwanja wa Ndege vipi mliopo Chato vipi unafanya kaziNa Ile Miradi ya chato imefikia wapi?
AKILI KISODA1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Umeongea kwa ukweli ila umesahau, pesa inabadilika thamani yaani kama umezoea kupanda bajaji kwa 500 miaka 50 utapanda kwa 2000,huoni kama kunafaida yakujenga nchi mapema kabla thamani haijapanda.1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Yaani kazi uwanja unapiga kila siku kuliko airport zingineeUwanja wa Ndege vipi mliopo Chato vipi unafanya kazi
Huna akili wewe KOBAZ1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Bandar kauza Magufuli? Ngorongoro na Loliondo aliuza magufuli?1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.