Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Kwamba dar to moro ni km 300!!! 😂

SGR na bwawa la umeme ni miradi yenye tija, shida imefanywa kisiasa na kiupigaji ndio tatizo lilipo.
Bwawa la umeme la JK Nyerere, Ndege,daraja la JPM na SGR hivi vina tija kubwa vikiendeshwa kwa weledi na kibiashara na vinagusa uchumi na maisha ya wananchi kwa ujumla. Ni viashiria vya maendeleo.
 
Ununuzi wa ndege na kuhamia Dodoma ndiye miradi isiyokuwa na tija, SGR na bwawa la Nyerere ni miradi mizuri kama ingefanywa kwa utaratibu mzuri na ikapata watu sahihi wa ikasimamiwa vyema.
Una mawazo kama yangu. Umeme wa uhakika na usafiri wa treni katika nchi yoyote ni mambo muhimu sana. Hii miradi hata mimi niliiunga mkono kwa nguvu zote ila tatizo ni kuwa ilifanywa kwa pupa, kibabe na ki-mhemko zaidi. Ndege ilikuwa ni uamuzi wa kipuuzi sana na nina uhakika hautadumu kwa sababu ulifanywa bila upembuzi yakinifu na bila kujua ni kwa nini tulikuwa tumefeli kipindi cha nyuma. Dodoma ndiyo kabisaa, hakukuwa na umuhimu wowote wa kuongeza gharama za serikali kwani sababu za makao makuu kuwa Dodoma hazi-exist tena kwenye hii karne ya sasa.
 
Sio tuu bwawa limeleta Mafuriko ila hata speed ya maji yakiwa mengi yanayoingia yanasababisha mashine kujizima Sasa sijui control ya maji haipo au vipi.

Inamaana mpaka hapo hakuna uhakika wa reliable electricity

Huko kwingine ni maumivu Hadi Yesu anarudi 😁😁
Leo ndio nimeamini una akili ndogo sana 😂😂😂😂😂
 
Ni vile tu hayupo.
Ngumu sana mtu kubeba mawazo yako mia kwa mia.
 
Una mawazo kama yangu. Umeme wa uhakika na usafiri wa treni katika nchi yoyote ni mambo muhimu sana.
Katika zama hizi za tabianchi huwezi kupata umeme wa uhakika kupitia vyanzo vya maji yatokanayo na mvua.

Jiwe alikuwa hana akili, alipaswa kutengeneza miradi ya umeme utokanao na upepo ama jua ambayo hata gharama zake ni ndogo.
 
Kwa uzoefu wangu, nchi nyingi ambazo ziko stable kwa umeme, huwa zinakuwa na sources nyingi. Hivyo basi, kutegemea source moja ni kosa. Tafakari: tunaweza kuwa na vyanzo vingi ili kuwa na umeme wa uhakika.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Mleta mada anafikiri Kwa kutumia makalio
 
Matako ya bibiako, Mnapaswa kuona ainsi nyie vilaza wala rushwa mlioshindwa kuendeleza miradi kwa ifanisi. Mbgemuacha alafu muone kazi, Matako we
 
Mkuu huwezi kupambana na nature, yeye alijaribu kupambana nayo ndiyo maana baada ya kufa kila kitu kinarudi mahala pake. Kuhamia Dodoma lilikuwa jambo la kukurupuka sana. Ndiyo maana kila siku viongozi utawakuta wako Dar kwa sababu Dar kiuhalisia na kimatakwa ndiyo inapaswa kuwa makao makuu.
Lack of vision and exposure will eliminate you naturally!
 
Bora hata magufuli tumeona hela zetu zinafanya kazi madaraja majengo na vitu kibao kajenga.Ajabu anakuja shoga mmoja anaona JPM kakurupuka lakini hajiulizi je serikali ilikua haina mpango wa kujenga hilo bwawa tangu enzi za nyerere haya yote aliyo yafanya je hayakua katika mipango yetu ya nchi!!Llabda useme uwanja wa ndege chato lakini kwingine tumpe maua yake yule mzeee.Sasa hivi hizo hela alizo fanya yote hayo utakua unazisikia tu billion 100 zimetumika kuafanya utafiti jambo fulan watu wanajilia tu.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Bwawa la umeme asbh na mapema tayari limefeli dah my country Tañzania
 
w

AKILI KISODA
-wewe ni akili kisoda sana yaani biashara uanzishe ya mabilioni utegemee kupata faida ndani ya miaka miwili mitatu hata miaka kumi hupati faida biashara nyingine
-ni kampuni chache za kitechnologia na nyinginezo hupata faida kwa mda mfupi kama wamewekeza billions
-halafu kitu kingine wewe AKILI KISODA hasara kwenye biashara ni pete na kidole labda ukafanye umalaya ndio hutapata hasara.
AKILI KISODA MMOJA
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Umeongea kwa ukweli ila umesahau, pesa inabadilika thamani yaani kama umezoea kupanda bajaji kwa 500 miaka 50 utapanda kwa 2000,huoni kama kunafaida yakujenga nchi mapema kabla thamani haijapanda.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Huna akili wewe KOBAZ
 
Bandar kauza Magufuli? Ngorongoro na Loliondo aliuza magufuli?

Kwamba wewe pale dar haupiti kwenye fly overs? Tatizo lako wewe na wenzako ni udini tu umewatawala. Ndo maana kule Gaza, Siria na Iran mnapigwa kila siku
 
Back
Top Bottom