Wakulima wanatumia wa ndege wa Chato kuanikia nafaka. Haitui hata baiskeli kwenye uwanja ule uliogharimu mabilioni ya shilingiUwanja wa Ndege vipi mliopo Chato vipi unafanya kazi
Kwanza tutake radhi, Dar hakuna flyovers, kuna vidaraja vya kupishanisha magari tu ambavyo jiwe kwa ushamba wake akiviita flyovers.Bandar kauza Magufuli? Ngorongoro na Loliondo aliuza magufuli?
Kwamba wewe pale dar haupiti kwenye fly overs? Tatizo lako wewe na wenzako ni udini tu umewatawala. Ndo maana kule Gaza, Siria na Iran mnapigwa kila siku
Nani tena huyu,au ndo mazeri enzi zake hizo?
Hiyo ya Wamasai itaenda na mama milele.
Chuki, njaa na ujinga vinakusumbua. Hayo madhara ya Bwawa la Mwalim Nyerere umeyaona leo tu wakati mafuriko kwenye hivyo vijiji vya Rufiji yalikuwepo miaka yote na ni sehemu ya maisha yao! Wao matarajio yao yalikuwa ni Bwawa likihengwa litapunguza hayo madhara ya mafuriko na ndo kilio chao hicho na si kwamba Bwawa ndo limeleta mafuriko kwa mara ya kwanza.1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Unapost na kureply mweyewe! Kweli funza ni funza tu.Mleta mada hujakosea kitu. Sikufahamu ila unaonekana una akili sana.
Umesema ukweli ambao hawataki usemwe..!1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Hilo ni swali kuntu, nafikiri una mwanzo mzuri wa kudadavua ni kwanini haswa hizi kampeni hazikomiMbona serikali ya awamu ya Sita inaendeleza?
Lawama zote ni kwa samia hapa
Ndege hata mamako huyu nanunua! Moja imewasili juzi tu hapa.
Hiyo miradi itafeli sababu inaendeshwa na akili visoda!
Nitajie mradi mmoja tu wa selikali nje ya hii ya JPM unaoendeshwa kwa ufanisi?
Kwahiyo duniani kote hakujawahi kujengwa flyovers?Kwanza tutake radhi, Dar hakuna flyovers, kuna vidaraja vya kupishanisha magari tu ambavyo jiwe kwa ushamba wake akiviita flyovers.
Flyover inapaswa kupita hewani kwa km kadhaa siyo MITA kadhaa. Yaani flyover ilipaswa kutoka Ubungo mpk Chalinze, Mwanza mpk Shinyanga, Arusha mpk Moshi, Mbeya mpk Makambako, Tama Mtwara mpk Lindi , n.k.
Bandari, Ngorongoro, na Loliondo havijauzwa. Lete ushahidi.
Unachaje project ambayo tayari imeanzishwa hakua na namna lazima angezimalizia tu anyway imeshatokea watafute namna wasolve huko maofisini kuna wataalamu wasaidie tu vitu vikamilikeKuweni makini na matumizi yenu ya akili.
Mama yenu alikuwa na nafasi ya kukataa kila kitu kwakuwa aliowateua walipinga miradi yote tangu enzi za Chuma.
Mnataka tutoe maoni yetu ya kweli kabla hamjasajili vikundi?
Ununuzi wa ndege kosa kubwa, kuhamia Dodoma kosa kubwa linguine, Kwa nchi masikini serikali kutelekeza majengo yake na kwenda kujenga mengine ni kuchezea pesa.ununuzi wa ndege alichemka sana JPM. kuhamia Dom namuunga mkono.
sgr na bwawa ni makusudi ya upigaji awamu hii ndio wameleta upumbavu ktk hiyo miradi 2.
Mimi namuona mtu ni mjinga akipinga hizo miradi.1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Mm namuona mjinga anayeunga mkono hiyo miradi.Mimi namuona mtu ni mjinga akipinga hizo miradi.
Sometime ukiwa mjinga utawaona watu werevu kuwa ni wajingaMm namuona mjinga anayeunga mkono hiyo miradi.
Ni mtu mjinga anayepinga mradi wa uzalishaji umeme ambao utaongeza umeme mwingi ambao haijaonesha madhara kwenye mazingira.1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema...