Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Uwanja wa Ndege vipi mliopo Chato vipi unafanya kazi
Wakulima wanatumia wa ndege wa Chato kuanikia nafaka. Haitui hata baiskeli kwenye uwanja ule uliogharimu mabilioni ya shilingi

Yule jiwe kaburi lake linastahili kuchomwa moto kabisa.
 
Bandar kauza Magufuli? Ngorongoro na Loliondo aliuza magufuli?

Kwamba wewe pale dar haupiti kwenye fly overs? Tatizo lako wewe na wenzako ni udini tu umewatawala. Ndo maana kule Gaza, Siria na Iran mnapigwa kila siku
Kwanza tutake radhi, Dar hakuna flyovers, kuna vidaraja vya kupishanisha magari tu ambavyo jiwe kwa ushamba wake akiviita flyovers.

Flyover inapaswa kupita hewani kwa km kadhaa siyo MITA kadhaa. Yaani flyover ilipaswa kutoka Ubungo mpk Chalinze, Mwanza mpk Shinyanga, Arusha mpk Moshi, Mbeya mpk Makambako, Tama Mtwara mpk Lindi , n.k.

Bandari, Ngorongoro, na Loliondo havijauzwa. Lete ushahidi.
 
20141018_MAP004_0.jpg
Nani tena huyu,au ndo mazeri enzi zake hizo?
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Chuki, njaa na ujinga vinakusumbua. Hayo madhara ya Bwawa la Mwalim Nyerere umeyaona leo tu wakati mafuriko kwenye hivyo vijiji vya Rufiji yalikuwepo miaka yote na ni sehemu ya maisha yao! Wao matarajio yao yalikuwa ni Bwawa likihengwa litapunguza hayo madhara ya mafuriko na ndo kilio chao hicho na si kwamba Bwawa ndo limeleta mafuriko kwa mara ya kwanza.
Zungunzia daraja ya Tanzanite, Kijazi na Ubungo flyovers, Ndege, Ikuku Dom, Daraja la Kigongo Busisi, Meli ya Mv Mwanza hapa kazi tu na miradi mingine kibao inayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania. Acha kuongozwa na chuki.
 
Wakuu tusipofosi kuitoa CCM madarakani tutaishia hivi hivi tu. Huyu ndio mbaya wetu
 
Inaelekea 'mke' hakujua/hakua sambamba na vision ya 'mme' ama ameshindwa wasimamia 'watoto' katika uendelezaji wa miradi ya 'familia' sasa wanafanyia 'anasa' tu. Sasa 'mke' anayumba. Asiwaudhi 'watoto' huku akijua fika wanaharibu 'mali ya familia'.

Anasa na Maendeleo havikai pamoja.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Umesema ukweli ambao hawataki usemwe..!
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Mbona serikali ya awamu ya Sita inaendeleza?

Lawama zote ni kwa samia hapa
Hilo ni swali kuntu, nafikiri una mwanzo mzuri wa kudadavua ni kwanini haswa hizi kampeni hazikomi

Hawa majamaa wanachokifanya ni psychological warfare.

Wanataka Vijana wasiwe na fikra za Kujikomboa, fikra za kujisimamia, fikra za kuwa na sovereign integrity, fikra za uhuru wa kiuchumi-Hawataki. Yaani hii ni kampeni kubwa inayofadhiliwa na mawakala wa mabeberu, mabeberu wenyewe mpaka hawa CHADEMA! Kwani vitu wanavyovipinga, cha kustaajabisha, Yanaendelezwa.

Hilo swali ni la ki Cuba Cuba.[✓]
 
wizi wa kura
Ndege hata mamako huyu nanunua! Moja imewasili juzi tu hapa.

Hiyo miradi itafeli sababu inaendeshwa na akili visoda!

Nitajie mradi mmoja tu wa selikali nje ya hii ya JPM unaoendeshwa kwa ufanisi?
 
Kwanza tutake radhi, Dar hakuna flyovers, kuna vidaraja vya kupishanisha magari tu ambavyo jiwe kwa ushamba wake akiviita flyovers.

Flyover inapaswa kupita hewani kwa km kadhaa siyo MITA kadhaa. Yaani flyover ilipaswa kutoka Ubungo mpk Chalinze, Mwanza mpk Shinyanga, Arusha mpk Moshi, Mbeya mpk Makambako, Tama Mtwara mpk Lindi , n.k.

Bandari, Ngorongoro, na Loliondo havijauzwa. Lete ushahidi.
Kwahiyo duniani kote hakujawahi kujengwa flyovers?

Haya bwana zimejengwa na KOBAZ wenzako kina Zito na Kinana. Nadhani sasa utakenua mpaka mifupa yote ya mdomoni ipishane
 
Kuweni makini na matumizi yenu ya akili.

Mama yenu alikuwa na nafasi ya kukataa kila kitu kwakuwa aliowateua walipinga miradi yote tangu enzi za Chuma.

Mnataka tutoe maoni yetu ya kweli kabla hamjasajili vikundi?
Unachaje project ambayo tayari imeanzishwa hakua na namna lazima angezimalizia tu anyway imeshatokea watafute namna wasolve huko maofisini kuna wataalamu wasaidie tu vitu vikamilike
 
ununuzi wa ndege alichemka sana JPM. kuhamia Dom namuunga mkono.
sgr na bwawa ni makusudi ya upigaji awamu hii ndio wameleta upumbavu ktk hiyo miradi 2.
Ununuzi wa ndege kosa kubwa, kuhamia Dodoma kosa kubwa linguine, Kwa nchi masikini serikali kutelekeza majengo yake na kwenda kujenga mengine ni kuchezea pesa.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Mimi namuona mtu ni mjinga akipinga hizo miradi.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema...
Ni mtu mjinga anayepinga mradi wa uzalishaji umeme ambao utaongeza umeme mwingi ambao haijaonesha madhara kwenye mazingira.

Ni mtu mjinga tu anapiga uhamishaji wa makao makuu Dodoma kitu ambacho kitapunguza foleni ambayo inasababishwa na misafara ya viongozi Dar es salaam na watu sasa watapata huduma ya wizara kirahisi moja kwa moja Dodoma.ni mtu mjinga tu ambaye atapinga maendeleo ya miundombinu ya kisasa ya usafirishaji kwenye karne hii.
 
1. Bwawa linamwaga maji mto Rufiji na kusababisha mafuriko lawama na gharama anabeba rais Samia.

2. Madege mabivu yaliyonunuliwa kwa keshi yanapata hasara, analaumiwa rais Samia.

3. Ujenzi wa SGR ya mwaka 47 inayohitaji vichwa vya kizamani vya spidi ya 160kmph , na hivyo kutumia masaa 4 (lkn bodaboda inatumia masaa 2.5) toka Dar mpk Moro, analaumiwa rais Samia.

Jiwe aliharibu nchi. Itatuchukua miaka 50 kurekevlbisha uharibifu alioufanya.
 
Back
Top Bottom