Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
kudanja ndiyo nini?Hapo ina make sense!
Lakini historia inaonesha wazazi wote washadanja!
Sasa hapo inakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kudanja ndiyo nini?Hapo ina make sense!
Lakini historia inaonesha wazazi wote washadanja!
Sasa hapo inakuwaje?
🤣🤣🤣Wachaga kwa kuteteana !! Utapeli mtaacha Lin?Kigezo kilichofanya akazikwa mahali Fulani ndio vigezo hivyohivyo vitakavyowapa umiliki hao wanaomiliki eneo Kaburi lake lilipo.
Unasema huoni mantiki, hujiulizi Kwa nini alizikwa Huko?
Hapa umekubali neno ndugu wa MAREHEMU ni ndugu wa MkeKama ishu ni mahari wadai hiyo mahari walipwe lakini si nyumba.
Hiyo nyumba haiwahusu kivyovyote.
Hili ndio jibu sahihi,hakuna mambo mengi hapo
Ndoa ni mfumo wa zamani.
Ukishasema ndoa jua ushazungumzia mfumo wa zamani.
Hapana.Wanadai Mtu kuolewa maana yake ni kuhamishwa ukoo.
Ile mahari waliyopokea maana yake ni mwanamke anahama ukoo wake na kuhamia ukoo wa mume.
Ndio maana hata mwili wake wameenda kuuzika moshi alipozikwa mume wake na mwanae.
Sasa kama mwili wake umzikwa kwenye makaburi ya ukoo wao. Na hata mali zake zisimamiwe na ukoo huo huo uliomzika
Hakuna uhalali. Nadhiri ya ndoa ya kikristo inasema mpaka kifo kitakapowatenga. Hivyo mojawapo anapofariki na mirathi yake ikakamilishwa, anayebaki ni single na mali zake zinawahusu watoto au ndugu zake wa karibu. Je angeolewa halafu ndo amefariki mume wake mpya si angerithi hizo mali? Huu ndio uelewa wangu.
Habari wadau.
Kama mnavyojua swala la mirathi linavyotolewa macho hapa Tanzania.
Jirani kwetu kuna mama amefariki na kuacha nyumba nzuri tu na hajaacha mtoto hata mmoja.
Historia ya huyu mama ( kabila mpogoro) mwaka 1991 aliolewa kwa ndoa ya kanisani na mume wake ( kabila mchaga)
Baada ya kufunga ndoa walinunua kiwanja na mume wake na kuzaa mtoto mmoja wa kiume.
Mwaka 1994 mume wa huyu mama alifariki na kumuacha mke na mtoto mmoja wakiwa hai.
Taratibu za mirathi ya mume wake zilifanyika baada ya msiba. Mama na huyo mwanae wakapewa hiko kiwanja maeneo ya tegeta kikiwa kitupu hakijaanzwa ujenzi wowote.
Maisha yakaendelea. Mama huyu hakuolewa tena . Aliendelea kuishi na mwanae kwa kupanga nyumba ya NHC keko. Na mdogo mdogo akaanza ujenzi wa nyumba katika kiwanja walichoachiwa na mumewe.
Alijenga nyumba nzuri tu ya kisasa. Na zingine ndogo ndogo pembeni za kupangisha. Maana kiwanja kilikuwa kikubwa sana ( maana enzi wananunua tegeta ilikuwa pori ardhi haina thamani miaka ya 90 muuzaji anakuuzia bonge la kiwanja kwa bei ndogoo..)
Baada ya kumaliza ujenzi yeye na mwanae waliendelea kuishi nyumba ya NHC na kule tegeta walipojenga wakapangisha wapangaji kadhaa.
Mwaka 2015 mama alipata msiba mwingine wa kufiwa na mtoto wake huyo mmoja kwa ajali ya gari na hii ikamfanya mama kubaki peke yake bila mtoto wala mume.
Mama akaendelea kuishi mwenyewe mpaka na yeye mama alipofariki mwaka huu mwanzoni.
Mwili wa mama ulisafirishwa kwenda moshi kuzikwa walipozikwa mume wake na mwanae.
Shida imekuja kwenye nyumba zilizojengwa na huyo mama. Ukoo wa mume unasema ni mali zao. Na ukoo wa mke nao unasema ni mali zao maana zimejengwa kipindi mume wa huyo mama ameshafariki.
Wataalamu wa mirathi Kesi kama hii upande upi kati ya ukoo wa mume na ukoo wa mume una haki ya kurithi hizo mali za huyu mama.
Wazazi wa huyu mama wote wameshafariki pia.
Upo sahihi kabisa.Hakuna uhalali. Nadhiri ya ndoa ya kikristo inasema mpaka kifo kitakapowatenga. Hivyo mojawapo anapofariki na mirathi yake ikakamilishwa, anayebaki ni single na mali zake zinawahusu watoto au ndugu zake wa karibu. Je angeolewa halafu ndo amefariki mume wake mpya si angerithi hizo mali? Huu ndio uelewa wangu.
🤣🤣🤣Wachaga kwa kuteteana !! Utapeli mtaacha Lin?
Hakuna Sheria kama hiyo. Nchi hii inaongozwa na Sheria ya ndoa.Wanadai Mtu kuolewa maana yake ni kuhamishwa ukoo.
Ile mahari waliyopokea maana yake ni mwanamke anahama ukoo wake na kuhamia ukoo wa mume.
Ndio maana hata mwili wake wameenda kuuzika moshi alipozikwa mume wake na mwanae.
Sasa kama mwili wake umzikwa kwenye makaburi ya ukoo wao. Na hata mali zake zisimamiwe na ukoo huo huo uliomzika
Hakuna uhalali. Nadhiri ya ndoa ya kikristo inasema mpaka kifo kitakapowatenga. Hivyo mojawapo anapofariki na mirathi yake ikakamilishwa, anayebaki ni single na mali zake zinawahusu watoto au ndugu zake wa karibu. Je angeolewa halafu ndo amefariki mume wake mpya si angerithi hizo mali? Huu ndio uelewa wangu.
Ungejaribu kufafanua kidogo utata uliopo hapo, kumbuka hao wote ni "third parties"
Kama issue ni mahari nafikiri alielipa ni mume, ambaye ni marehem pia.
Hakuna kitu kama icho ...Ndoa inatenganishwa na kifo hamna Tena ndo hapo.Sio Utapeli.
Kama MKE kazikwa upande wa mume, tafsiri yake bado ni Mali ya Ukoo wa mumewe.
Kama Ndoa ilivunjika au ilivunjwa, sio sababu ya kuzika MKE upande wa mumewe.
Hao Ndugu wa Mke ndio wanashida.
Sema ni vile Watu hawaelewi haya Mambo.
Mwanamke akishaolewa anakuwa hayupo Chini ya umiliki WA ukoo wake tena, anaenda kwenye umiliki wa ukoo WA mwanaume.
Ni vile kizazi cha sasa kimeshavurugwa
Hakuna kitu kama icho ...Ndoa inatenganishwa na kifo hamna Tena ndo hapo.
Nyi ni matapeli hakuna asiye tambua kila siku nyie tu kwani mkiacha izo Mali mtakufa? Eti kaacha kiwanja mnataka nyumba zote
Hakuna kitu kama icho ...Ndoa inatenganishwa na kifo hamna Tena ndo hapo.
Ndoa imekufa sio kila mpogolo wa morogora atazikwa huko.🤣🤣🤣
Acha hasira sasa Mkuu.
Wewe unasema ndoa imekufa alafu muda huohuo mjane kazikwa alipozikwa mumewe na mtoto wao Huko Moshi.
Huoni ninyi ndio matapeli?
Haijalishi kazikwa wapi. Ukweli ni kuwa alikuwa single na no longer wife wa late husband.Uelewa wako ungepaswa uanzie kwenye hoja ya Kwa nini huyo mjane hakuzikwa kwao badala yake akazikwa upande wa mumewe.
Hapo ndipo uanzie