James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
tofauti kubwa ni kuwa anglican wanasupport ushoga na ndoa zake. katoliki na anglican usiwalinganishe kabsa. bora kulinganisha suni na katholicAnglican haina tofauti sana na Katoliki!
Huyu nguruwe wa Lumumba alienda kuangalia mavazi na kumtafuta MboweKweli ipo tofauti kama jinsi ambavyo hata miye niliona tofauti na weye. Je, ulitaka wafanane tangu mavazi hadi biblia? Pole sana kumbe ulienda kuangalia mavazi na unyenyekevu wa uso tu
kwa comment hii hakika wewe ni mafia wa dini lemme ask u a questionhawa ndio wenyewe sasa wanaotoa huduma za kiroho, sio hayo ya wapinga kristo uliyoyataja
Mkuu umekomaa akili sn.Me pia Mlutheri but huwa nasikiliza na kuangalia sn kaswida na nazipenda hasa za Maher zainMimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.
Peace
Rip BWM
Mkuu Hii Dunia Ukitumia AKILI Alizotoa MUNGU Buree Mbona Hupati Shida....Mkuu umekomaa akili sn.Me pia Mlutheri but huwa nasikiliza na kuangalia sn kaswida na nazipenda hasa za Maher zain
Maaskofu rasmi ni wapi ?Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Wanafanya sana! Ukiona kwa hao wenye ngazi ya juu ya utumishi kama Uaskofu,isipokuwa kama wamealikwa kufanya ibada ya mazishi hasa kwa watu wakubwa,kazi hizo zinafanywa na watu wa chini yao katika huduma labda wachungaji au wazee wa Kanisa.Mbona mimi sijawahi kuona kwa Gwajima na wengine wa kiroho wakiongoza misa ya mazishi na hata ya ndoa?
Kanisa ni ufalme wake Mungu bwashee.Mtu unaweza kujikuta unaabudu kanisa badala ya kumuabudu Mungu.
Hili andiko kamuoneshe na nabii wako Gwaji boy.Mnanyenyekea nini sasa wakati amri za Mungu mmechakachua ?
Wakatoliki mnafit kwenye andiko hili
[emoji116]
23 Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
Wakolosai 2:23
Kwa hivyo huo mnaouona ni utaratibu mzuri ni matusi kwa Mungu wa mbinguni kama kweli mnampenda Mungu na mnamnyenyekea TIINI AMRI ZAKE
Nimekuelewa mkuu!Kweli tofauti IPO Sana ndo maana askofu WA katoliki hawatii nia ya ubunge
Wewe ni muislamu kweli?Au uislamu wako ni ule wa kuchinja kuku na wa kuzaliwa na kujikuta unaitwa juma?Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.
Peace
Rip BWM
Anglican haina tofauti sana na Katoliki!
[/QUO
Na Lutheran je hii imebase wapi
Kuna watu hawana akili, na ndio hao wanakuwa mboga za matapeli kama akina Gwajima, Marehemu Mam Lwaikatare, MWINGIRA, na kadhalika. Hao wote ni wapiga dili zao binafsi, ni kundi la mashetani, huwezi wafananisha na watu wanao fanya kazi ya Mungu kwa dhati.Hebu wacha kulinganisha Kanisa na upumbavu!!