Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Mkuu kwanza kutamka "kanisa" la Gwajima umempa heshima kubwa asiyostahiki. Mimi huwa nayaita makanisa ya kitapeli.
 
Kweli ipo tofauti kama jinsi ambavyo hata miye niliona tofauti na weye. Je, ulitaka wafanane tangu mavazi hadi biblia? Pole sana kumbe ulienda kuangalia mavazi na unyenyekevu wa uso tu
Huyu nguruwe wa Lumumba alienda kuangalia mavazi na kumtafuta Mbowe
 
hawa ndio wenyewe sasa wanaotoa huduma za kiroho, sio hayo ya wapinga kristo uliyoyataja
kwa comment hii hakika wewe ni mafia wa dini lemme ask u a question
ivi inawezekana vip mtoto kumtusi mama yake mzazi tena kwa kuitaja sehemu ambayo baba ake anapita na yeeye alipotokea kwa kutanguliza kichwa?
 
Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.

Peace

Rip BWM
Mkuu umekomaa akili sn.Me pia Mlutheri but huwa nasikiliza na kuangalia sn kaswida na nazipenda hasa za Maher zain
 
Mkuu umekomaa akili sn.Me pia Mlutheri but huwa nasikiliza na kuangalia sn kaswida na nazipenda hasa za Maher zain
Mkuu Hii Dunia Ukitumia AKILI Alizotoa MUNGU Buree Mbona Hupati Shida....

Kwenye Quran Kuna aya "PINDIPO INAPOWAFIKIA HOJA,ICHUNGUZENI KWANZA ILI MSIJE MKADHURU WASIO NA HATIA"

Na kwenye Biblia "WATU WANGU HUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA".
😁😁
 
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Maaskofu rasmi ni wapi ?
 
Kwa hiyo hao maadkofu rasmi hawana huduma za kiroho ? Kwa huduma za kimwili. Pole sana hujui usemalo
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.

Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.

Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Mbona mimi sijawahi kuona kwa Gwajima na wengine wa kiroho wakiongoza misa ya mazishi na hata ya ndoa?
Wanafanya sana! Ukiona kwa hao wenye ngazi ya juu ya utumishi kama Uaskofu,isipokuwa kama wamealikwa kufanya ibada ya mazishi hasa kwa watu wakubwa,kazi hizo zinafanywa na watu wa chini yao katika huduma labda wachungaji au wazee wa Kanisa.
Hali kadharika kufungisha ndoa! Isipokuwa vinginevyo kwa nafasi ya Uaskofu hawezi kufungisha ndoa wakati wapo Wachungaji walio chini yao katika huduma.
 
Mnanyenyekea nini sasa wakati amri za Mungu mmechakachua ?
Wakatoliki mnafit kwenye andiko hili
[emoji116]
23 Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
Wakolosai 2:23

Kwa hivyo huo mnaouona ni utaratibu mzuri ni matusi kwa Mungu wa mbinguni kama kweli mnampenda Mungu na mnamnyenyekea TIINI AMRI ZAKE
Hili andiko kamuoneshe na nabii wako Gwaji boy.
 
Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.
Nisieleweke vibaya kuwa hao waliotajwa hawana maana laa laa Ila nimeacha tu kuwafuatilia kwenye televisheni km nilivyoacha kabisa kuwafuatilia ndugu zetu Answaar Sunna a.k.a Wahabi na pia Sina maana nawadharau Answaar Sunna hapana.

Peace

Rip BWM
Wewe ni muislamu kweli?Au uislamu wako ni ule wa kuchinja kuku na wa kuzaliwa na kujikuta unaitwa juma?
 
Hebu wacha kulinganisha Kanisa na upumbavu!!
Kuna watu hawana akili, na ndio hao wanakuwa mboga za matapeli kama akina Gwajima, Marehemu Mam Lwaikatare, MWINGIRA, na kadhalika. Hao wote ni wapiga dili zao binafsi, ni kundi la mashetani, huwezi wafananisha na watu wanao fanya kazi ya Mungu kwa dhati.
 
Nadhani hata usomi unachangia. Hawa wenzetu ni manabii wanakurupuka kuanzisha makanisa wengi ni la Saba na form 4 ndo wanakuwa manabidii.
 
Lutheran wanafanana na Anglican wale wanaoitwa Low Church mfano Dodoma.

Katoliki wanafanana na Anglican High Church mfano Tanga/Zanzibar
 
Kiukweli katika madhehebu yanayozingatia muda Katholic wanaongoza,wanakwenda kwa muda sahihi,tofauti na madhehebu mengine,nimesali madhehebu tofauti tofauti nimeona jinsi gani mengine wasivyozingatia muda
 
Back
Top Bottom