Tutanukta. Lumumba 11:3Mtakoma. washenzi 6:7-8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutanukta. Lumumba 11:3Mtakoma. washenzi 6:7-8
Watanganyika Wote Waandishi Wa Habari?Hahahahahaaa
Daudi mwana Wa zisonje alikua amelala hakujua ujio Wa vichwa ,hata baba yake aliyemtwika madaraka bila kuangalia ukubwa Wa kichwa chake alistaajab kuona vichwa hivi vilivyosawir katika badari Salama mbele ya milango Wa bashite
Akapaza sauti kuuliza vichwa hivi ni vya nani ?
Hata sauti ilyosikika ikitokea nyikani isiyojulikana ikasema
Mzee wewe ni mkuu iweje unatafuta kiki hadi katika vichwa vya treni?
toka hapa libashite......wewe kafanye yakoMi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
Na jogoo akawika kwa mara ya tatu..Kiparangoto 21:5Nae wazir mwenye dhamana akaitwa na kaisari kuulizwa kuhusu vichwa vile akastaajabu na akajibu kwa kusema sivijui vichwa hivi!!!?
Nasi Kando ya bahari ya hindi ndipo tulipo keti tukalia na kushangilia mana ya vichwa vya treni vilivo shushwa kwa upepo wa kisuli suli Tanzania awamu ya 5:17-2020 [emoji23][emoji22]
Hahahaaaa umevunja mkuu nilihisi nasoma holy bible daah bila shaka umetokea galilaya mwana wa uzao wa wadanganyikaBasi baada ya Bashite mwana wa Kaisari kusikia habari kwamba kuna mtu kutoka mashariki ya mbali jina lake kimepewa kitongoji kimoja cha Galilaya basi haraka haraka akawatuma mafalisayo waende wakashuhudie kama ni kweli.Basi Mafalisayo wakaenda wakashuhudia na kurudi kwa mwana wa mfalme wakasujudu wakasema "Tumepata kuona kibao kimeandikwa VICTORIA CHUI"Ndipo akawauliza kwa gadhabu "Ni nani aliyefanya hivyo? Mimi nimekuwa mwana wa mfalme lakini jina langu halijapewa hata banda la mbwa wa Tiro na Sidoni(Manzese na Gomz)" Ndipo kuhani mmoja akamjibu. "Ni mzee wa baraza la hapa Galilaya ndo kafanya hivyo" basi Bashite akauliza tena. "Naweza kumteka na kumtesa kama yule kijana wa Kiroma ili naye apate shika adabu yake?" Ndipo wazee wa baraza wakamwambia "humuwezi mtu huyo maana anatumia vifungu vya sheria za wayahudi" basi Bashite akagadhabika na kuwaamuru mafalisayo wakaking'oe hicho kibao, nao kama walivyoagizwa wakaking'oa hukuwakijisifu "hakika tumemuweza bwana huyu(meya)" lakini cha ajabu mpaka mwana wa Mungu anarudi hicho kitongoji kikaendelea kuitwa jina la VICTORIA CHUI huku Daudi akiendelea kutafta kiki kwa pikipiki iliyoisha mafuta.(wivu wa Mwana wa mfalme 1;1_15)
Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Amini amini nawaambia ufalme wangu si wa mafisadi na wala rushwa bali nita hakikisha wanaishi kama mashetaniTena amini nawaambieni yeye aliyepokea kwa mkono wa kulia atatoa kupitia tundu lolote.Na haya nimewaambieni mbele ili wakati atoapo muwe tayari kushuhudia.Naye aliyeko wodini asitoke hapo mpaka kesi yake iishe kusomwa. Mbagala 6:5.
Basi baada ya Bashite mwana wa Kaisari kusikia habari kwamba kuna mtu kutoka mashariki ya mbali jina lake kimepewa kitongoji kimoja cha Galilaya basi haraka haraka akawatuma mafalisayo waende wakashuhudie kama ni kweli.Basi Mafalisayo wakaenda wakashuhudia na kurudi kwa mwana wa mfalme wakasujudu wakasema "Tumepata kuona kibao kimeandikwa VICTORIA CHUI"Ndipo akawauliza kwa gadhabu "Ni nani aliyefanya hivyo? Mimi nimekuwa mwana wa mfalme lakini jina langu halijapewa hata banda la mbwa wa Tiro na Sidoni(Manzese na Gomz)" Ndipo kuhani mmoja akamjibu. "Ni mzee wa baraza la hapa Galilaya ndo kafanya hivyo" basi Bashite akauliza tena. "Naweza kumteka na kumtesa kama yule kijana wa Kiroma ili naye apate shika adabu yake?" Ndipo wazee wa baraza wakamwambia "humuwezi mtu huyo maana anatumia vifungu vya sheria za wayahudi" basi Bashite akagadhabika na kuwaamuru mafalisayo wakaking'oe hicho kibao, nao kama walivyoagizwa wakaking'oa hukuwakijisifu "hakika tume
Hahahahaaa Umetisha Mkuu Nimecheka Mpaka Majirani WameamkaBasi yule kuhani mkuu akanena!"ni kwa maombi ya nani miujiza hii?kwa ruhusa ya nani maombi hayo?hakika haya ni makufuru na siyatambui ,ondoeni vichwa hivi madhabahuni kwangu!majipu 06:7-17
Wasaidizi wa makuhani wakasemezana wao kwa wao "je ni nani kati yetu aliyeomba muujiza huu ?wale wasaidizi wakuu wakakana wakisema hakika hatutambui kufuru hii!
Mchecheto 05:7-17
Nimetia kambiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu Uzi ni kiboko