Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Hivi hizi tuhuma za walimu kila siku ni kweli au mnatania..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana ilikua ndoto yangu hii
Achana nayo.... Bora ukanunue mihogo uwe unachoma.... Mwalimu hakutani na posho zaidi ya kusimamia mtihani.....au kusahhisha mitihani... Tena utakuta shule nzima anachaguliwa mmoja ...wanamaisha magumu sana hawa watumishi wenzangu .... Hata Mimi ninayo ila wao wamenizidi ugumu Kwa kiwango kikubwa sana .....
 
Kesho fanya nenda tawi la NMB ambalo lipo jirani na vijiji kama Kemondo
😁😁 Oya mkuu kangala bado zipo lakini maana kitambo Sana hayo MAISHA back then , pale kemondo ilipo shule ya kalokola ndo nilikuwa naenda msalimia Babu na Bibi it wosrt days kula kangala maana sikuzoe Maisha hayo

Nashangaa unasema unamkopa Mwalimu kangala Ina maana hali imekuwa ngumu kiasi hicho mkuu?😎
 
Achana nayo.... Bora ukanunue mihogo uwe unachoma.... Mwalimu hakutani na posho zaidi ya kusimamia mtihani.....au kusahhisha mitihani... Tena utakuta shule nzima anachaguliwa mmoja ...wanamaisha magumu sana hawa watumishi wenzangu .... Hata Mimi ninayo ila wao wamenizidi ugumu Kwa kiwango kikubwa sana .....
Kwahiyo laki Saba haimtoshi mtu kwa mwezi ?
 
Unatuoanje walimu Kwa Nini mnatudhalilisha kiasi hikiii
Ushawahi ishi na watumishi wengine wewe...?!!
Manesi,watendaji n.k
Hebu mtukome kwanza tumewachoka Kila Siku walimu walimu walimu,maisha yetu magumu tunakula makwenu?!!!
Si useme wewe ndo una maisha magumu Sasa hiviii..!
Wangapi humu wanaoulizia mishahara na sio walimu?!!!
 
Mbwa weweee....unatuoanje walimu Kwa Nini mnatudhalilisha kiasi hikiii
Ushawahi ishi na watumishi wengine wewe...?!!
Manesi,watendaji n.k
Hebu mtukome kwanza tumewachoka Kila Siku walimu walimu walimu,maisha yetu magumu tunakula makwenu?!!!
Si useme wewe ndo una maisha magumu Sasa hiviii...ulaaniwe na dhihaka zako...!!
Wangapi humu wanaoulizia mishahara na sio walimu?!!!
Mbwa weweeeeeee..umenikera sanaaa
Acha hasira kesho nenda Nmb bank vuta mpunga, lipa madeni.
 
Kwahiyo laki Saba haimtoshi mtu kwa mwezi ?
Braza unasema mtu!!?? Au familia na sehemu ya ukoo na jamii aliyopo... Nimefanya kazi Halmashauri vijijini huu mwaka wa 14 naenda wa 15... Acha kabisa jamaa yangu .... Unahitaji nidhamu zaidi ya 150% ..... Waoneeni huruma .... Serikali inalazimika kuwarudishia Teaching allowances aseee ni noma sana... Mtu anatumia mshahara wake (kipato Cha familia) kufanyia kazi za serikali hana OC Hana posho ... Nyieeeee..... Wengi ungaunga mwana .... Huo mshahara wenyewe umejaa madeni hatari ndio maana hata unaona uhamisho mwingi wa kujiombea 98% ni walimu ili wawe karibu na makwao kupunguza ukali wa maisha ..angalia tu hata uhamisho ulioruhusiwa wa juzijuzi hapa .... Wanateseka sana....
 
Sina deni na mtu na mpk mda huu km Kuna mtumishi anaishi Kwa mshahara namuonea sana huruma haswa wa kawaida....
Jifunze kuheshimu taaluma za watu kama masikini ni huko kwenu tu
Ninawadai walimu kama saba hapa wanakunywa kangala kwa mkopo na vishikwambi kapwani huku vishikwambi havina data.
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Aiseee

Hivi siku ikitokea mkalipwa tarehe 30 si mtakufa? Mnaishi maisha ya shida sana, mnashindwa kubajeti mishahara yenu

Toka lini mshahara ukatoka tarehe 21? Halafu jumamosi.

Ilitegemewa 23.

Unatia aibu sana wewee mtu.
 
Back
Top Bottom