mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 608
- 1,409
Kha! kwani walimu ndo wafanyakazi peke yao nchi hii mpunguze kujidekeza na nyieMwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .