Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
ukitaka ule maisha kwenye ualimu uwe na mishe zako pembeni ,miliki mjengo mzuri wa wastani halafu tembelea premio yenye mziki mkubwaaa,yani ukiwa unaenda kazini wanafunzi wakikuona wanafurahiaaaWalimu Wana mishahara mikubwa sana,...basi tu kujiendekeza.!