Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Kwa hiyo hadi mda huu kimya kimya,[emoji1][emoji1][emoji1]

Walimu leo hata nauli ya kurudi majumbani mwao watakosa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ...........Natania jamani ,walimu nawakubali sanaaa
 
Kuna mtu alisema "salary" ni "opium "! Kabla haujafika alosto mbaya...ukifika muangalie mtu usoni. Yaani anakuwa na dalili zote za mtumia " mihadarati".

Haya maneno yalinichoma sana.
 
Wanatunga tu then Kama unavyojua watanzania hawana Elimu ya PESA ebu Mwambie awafatilie hata wanajeshi au polisi au madokta wote hao mshahara ukichelewa wanakuaga hoi sana.
Wewe ni mwalimu hakika. Hali za maisha za walimu zinatia huruma wanakopa mno madukani tofauti na kada zingine mkuu.

Tunaishi nao mtaani na wengine ni ndugu, jamaa, marafiki na majirani zetu tunawaona.

Wala hawazushiwi ni ukweli mtupu.
 
Hivi hizi tuhuma za walimu kila siku ni kweli au mnatania..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ilikua ndoto yangu hii
Walimu wanadaiwa jmn
 
Back
Top Bottom