Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mbwa weweee....unatuoanje walimu Kwa Nini mnatudhalilisha kiasi hikiii
Ushawahi ishi na watumishi wengine wewe...?!!
Manesi,watendaji n.k
Hebu mtukome kwanza tumewachoka Kila Siku walimu walimu walimu,maisha yetu magumu tunakula makwenu?!!!
Si useme wewe ndo una maisha magumu Sasa hiviii...ulaaniwe na dhihaka zako...!!
Wangapi humu wanaoulizia mishahara na sio walimu?!!!
Mbwa weweeeeeee..umenikera sanaaa
Mwalim kachafukwa ccm hamuibi tena kura pitia kwa walim
 
Si kweli, mimi naishi jirani na walimu wanafundisha shule kama mbili tatu zipo kwenye makambi, wana maisha mazuri tu,tena na wana vigari kabisa, na majuzi nilitembelea shule moja ya msingi,kumejaa magari madogo ya walimu,kuonyesha kwamba kiuchumi wapo afadhali
Sio vigari sema tukodoo, au tumbuzi , wapi umeona mwalimu anatembelea mnyama, ni tukondoo na tumbuzi wanatembelea
 
Yeah,maisha yanaendelea mkuu....unajua kumdharau MTU usiyemlisha huo ni muwasho kama miwasho mingine mkuu?!
Nilikua sijui mkuu
Sasa nimeelewa hapa...
Hao wenye dharau naimani wana la kujifunza hapa ...
 
Mbwa weweee....unatuoanje walimu Kwa Nini mnatudhalilisha kiasi hikiii
Ushawahi ishi na watumishi wengine wewe...?!!
Manesi,watendaji n.k
Hebu mtukome kwanza tumewachoka Kila Siku walimu walimu walimu,maisha yetu magumu tunakula makwenu?!!!
Si useme wewe ndo una maisha magumu Sasa hiviii...ulaaniwe na dhihaka zako...!!
Wangapi humu wanaoulizia mishahara na sio walimu?!!!
Mbwa weweeeeeee..umenikera sanaaa
🤣🤣🤣🤣🤣
Naongezea "mbwaaaaaa"!
Stress zao wanataka kutumalizia sie, wao waloyapatia maisha huo muda wa kutusakama wanautoa wapi!! Shenzeeee kila anayetaka kujua mshahara kama umetoka anajifanya ni mwalimu.
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Bil 75 zimelipwa majuzi sidhani kama kibuyu kina chochote hivi sasa
 
Hivi wafanyakazi wengine wa umma ukiacha teachers huwa wanalipwa kiasi gani??..maana ni as if wengine wanalipwaga mamilioni ya pesa kwa mwavyo wadharau humu..
 
Watanzania acheni kuendekeza na kupenda anasa huku mnalialia kama kondoo wapumbavu.

Hii nchi fursa ni nyingi sana kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na vibarua uchwara kwa bakheresa huko hasa ukiwa muislamu.

Fanyeni kazi msitegemee ajira na mishahara.

adriz
Mzee niite Copenhagen, nishachoka😁😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Naongezea "mbwaaaaaa"!
Stress zao wanataka kutumalizia sie, wao waloyapatia maisha huo muda wa kutusakama wanautoa wapi!! Shenzeeee kila anayetaka kujua mshahara kama umetoka anajifanya ni mwalimu.
Walimu mpo wengi kwa hiyo watu wanaleta hoja zao kupitia mgongo wa walimu ili wahusika washughulikie mapema😂
 
Back
Top Bottom