Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Sehemu inayofanya walimu kuonekana washamba ndio hili la kujirusha ovyo ovyo
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Mwambie huyo mwalimu aache ujinga 21 Ya mwezi tangu serikali ikalipa mishahara .

Nimefanya kazi kwa miaka 9 na serikali sijawahi ona mshahara wa tarehe 21 ya mwezi
 
Hii tu inaonyesha hujafanya kzi serikalin serkali imelipa zaidi ya miezi 10 mshahara tarehe 21 na kuna miezi iliwah kulipwa mpaka tarehe 20..
Siku hizi mshahara ukichelewa sana ni tarehe 22 nafikiri wewe unasimuliwa kuhusu serkali ila hujawahi kufanya kazi huko
 
Hivi hizi tuhuma za walimu kila siku ni kweli au mnatania..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maana ilikua ndoto yangu hii
Si kweli, mimi naishi jirani na walimu wanafundisha shule kama mbili tatu zipo kwenye makambi, wana maisha mazuri tu,tena na wana vigari kabisa, na majuzi nilitembelea shule moja ya msingi,kumejaa magari madogo ya walimu,kuonyesha kwamba kiuchumi wapo afadhali
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Jisemee mwenyewe mkuu.
 
Hivi hizi tuhuma za walimu kila siku ni kweli au mnatania..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ilikua ndoto yangu hii
Uingie kwenye ualimu tu

Utajuwa huko huko

Ova
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Katika kitu wanazingua ni utaratibu wa kupanga foleni kila mtu anajua mshahara umetoka ila CRDB hakunaga foleni utakuta mtu ana kadi kama 5 hivi kazishikilia ila walimu kweli wanahitaji msaada
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .
Fala sanaaa.
KENGE WEWE!
Walimu wamekutuma?
 
Hivi hizi tuhuma za walimu kila siku ni kweli au mnatania..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maana ilikua ndoto y

Hamna ukweli wowote walimu wa vijijini Kama kemondo hela ya kula hawakosi maana Maisha yapo chini Sana lazima waende kazini.
Walimu Wana mishahara mikubwa sana,...basi tu kujiendekeza.!
 
Si kweli, mimi naishi jirani na walimu wanafundisha shule kama mbili tatu zipo kwenye makambi, wana maisha mazuri tu,tena na wana vigari kabisa, na majuzi nilitembelea shule moja ya msingi,kumejaa magari madogo ya walimu,kuonyesha kwamba kiuchumi wapo afadhali
Daah bora hata wewe mkuu umeongea kitu chenye kutia moyo an khaaa 🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
 
Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.

Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.

Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.

Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Mshahara haulipwi kwa matarajio ya mtu,basi mwisho wa mwezi
 
Mwambie huyo mwalimu aache ujinga 21 Ya mwezi tangu serikali ikalipa mishahara .

Nimefanya kazi kwa miaka 9 na serikali sijawahi ona mshahara wa tarehe 21 ya mwezi
sifanyi kazi serikalini ila hapa haupo sahihi chief
 
Back
Top Bottom