Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Achana nayo.... Bora ukanunue mihogo uwe unachoma.... Mwalimu hakutani na posho zaidi ya kusimamia mtihani.....au kusahhisha mitihani... Tena utakuta shule nzima anachaguliwa mmoja ...wanamaisha magumu sana hawa watumishi wenzangu .... Hata Mimi ninayo ila wao wamenizidi ugumu Kwa kiwango kikubwa sana .....Hivi hizi tuhuma za walimu kila siku ni kweli au mnatania..πππππππππππππππ
Maana ilikua ndoto yangu hii
ππ Oya mkuu kangala bado zipo lakini maana kitambo Sana hayo MAISHA back then , pale kemondo ilipo shule ya kalokola ndo nilikuwa naenda msalimia Babu na Bibi it wosrt days kula kangala maana sikuzoe Maisha hayoKesho fanya nenda tawi la NMB ambalo lipo jirani na vijiji kama Kemondo
Kwahiyo laki Saba haimtoshi mtu kwa mwezi ?Achana nayo.... Bora ukanunue mihogo uwe unachoma.... Mwalimu hakutani na posho zaidi ya kusimamia mtihani.....au kusahhisha mitihani... Tena utakuta shule nzima anachaguliwa mmoja ...wanamaisha magumu sana hawa watumishi wenzangu .... Hata Mimi ninayo ila wao wamenizidi ugumu Kwa kiwango kikubwa sana .....
Laki saba ni mwaliku aliyefundisha miaka zaidi ya kumi na ana DiplomaKwahiyo laki Saba haimtoshi mtu kwa mwezi ?
daktari gani huyo analia njaa?Wanatunga tu then Kama unavyojua watanzania hawana Elimu ya PESA ebu Mwambie awafatilie hata wanajeshi au polisi au madokta wote hao mshahara ukichelewa wanakuaga hoi sana.
Yaani sijui hizi mbwa zinaudhi sana,watumishi kibao wanaoulizia mishahara ila adui na mnyonge wao mwl tuJamani ya kweli haya?
Acha hasira kesho nenda Nmb bank vuta mpunga, lipa madeni.Mbwa weweee....unatuoanje walimu Kwa Nini mnatudhalilisha kiasi hikiii
Ushawahi ishi na watumishi wengine wewe...?!!
Manesi,watendaji n.k
Hebu mtukome kwanza tumewachoka Kila Siku walimu walimu walimu,maisha yetu magumu tunakula makwenu?!!!
Si useme wewe ndo una maisha magumu Sasa hiviii...ulaaniwe na dhihaka zako...!!
Wangapi humu wanaoulizia mishahara na sio walimu?!!!
Mbwa weweeeeeee..umenikera sanaaa
Sahihi kabisa hakuna wenye njaa kama askari aseehhh...ila hawaoni mi wananiudhi Sanaa...wanapenda sifa za kijingaWanatunga tu then Kama unavyojua watanzania hawana Elimu ya PESA ebu Mwambie awafatilie hata wanajeshi au polisi au madokta wote hao mshahara ukichelewa wanakuaga hoi sana.
Hili lina ukweli 100% sema wanaonewa ni walimu tu hha hajui Dr wa TAMISEMI ana maisha magumu sana kuliko Dereva wa wizara au jeshiWanatunga tu then Kama unavyojua watanzania hawana Elimu ya PESA ebu Mwambie awafatilie hata wanajeshi au polisi au madokta wote hao mshahara ukichelewa wanakuaga hoi sana.
Sina deni na mtu na mpk mda huu km Kuna mtumishi anaishi Kwa mshahara namuonea sana huruma haswa wa kawaida....Acha hasira kesho nenda Nmb bank vuta mpunga, lipa madeni.
Braza unasema mtu!!?? Au familia na sehemu ya ukoo na jamii aliyopo... Nimefanya kazi Halmashauri vijijini huu mwaka wa 14 naenda wa 15... Acha kabisa jamaa yangu .... Unahitaji nidhamu zaidi ya 150% ..... Waoneeni huruma .... Serikali inalazimika kuwarudishia Teaching allowances aseee ni noma sana... Mtu anatumia mshahara wake (kipato Cha familia) kufanyia kazi za serikali hana OC Hana posho ... Nyieeeee..... Wengi ungaunga mwana .... Huo mshahara wenyewe umejaa madeni hatari ndio maana hata unaona uhamisho mwingi wa kujiombea 98% ni walimu ili wawe karibu na makwao kupunguza ukali wa maisha ..angalia tu hata uhamisho ulioruhusiwa wa juzijuzi hapa .... Wanateseka sana....Kwahiyo laki Saba haimtoshi mtu kwa mwezi ?
Ninawadai walimu kama saba hapa wanakunywa kangala kwa mkopo na vishikwambi kapwani huku vishikwambi havina data.Sina deni na mtu na mpk mda huu km Kuna mtumishi anaishi Kwa mshahara namuonea sana huruma haswa wa kawaida....
Jifunze kuheshimu taaluma za watu kama masikini ni huko kwenu tu
Hapana.We jamaa umeshapiga maji π§
Kwanza tambua kijiwe changu sio cha kifala. Unapata kangala, balimi, Ambiance, Shimha n.kKama unafanya Biashara ya kangala lazima ushapiga π
Ina maana. Wewe ndo kalokola mwenyewe mwenye bar pale katerero center unafundisha kemondo secondary ???Kwanza tambua kijiwe changu sio cha kifala. Unapata kangala, balimi, Ambiance, Shimhwa n.k
Chonka iwe msigazi notabanguka munoπMboro kubwa najivunia
Mashoga wengi wana mboro kubwa ila wanafirwa na vibamiaMboro kubwa najivunia
AiseeeMwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani .Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka jumosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza .