Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wao ndio wanaongoza kwa idadi, sampuli inakidhi vizuri kabisa...Mnachowafanyia Walimu Mungu anawaona mjue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ndio wanaongoza kwa idadi, sampuli inakidhi vizuri kabisa...Mnachowafanyia Walimu Mungu anawaona mjue!
Kesho nayo ni siku ya nini?Kesho nayo ni siku.
Kupata mishaharaKesho nayo ni siku ya nini?
Mkuu hizi kazi za serikali inahitaji moyo sana... Yaani mpaka SAMIA ajisikie ndo mshahara utokeKupata mishahara
Hahahahaha km mshahara ni jumatatu basi hata watumishi wataenda kazini jumatatu... Mbna ni simple mathematicsNaskia Mshahara ni Jumatatu au Jumanne kwahyo watumishi muwe Wavumilivu oale tunapojaribu kutatua changamoto zenu 😅😅😅🤣🤣
Sasa Jaribu uone 🤣🤣Hahahahaha km mshahara ni jumatatu basi hata watumishi wataenda kazini jumatatu... Mbna ni simple mathematics
Imenipata songea mjin pale karibu na tanesko.nmb nilichemka folen ikabdi niende songea girls chin chin kule kwa mzee robertsIla walimu wanazingua sana yaani ukifika NMB pale ile foleni yao tu unajua mshahara umetoka.
Barua inatolewa haraka as if ilikua ishaandaliwaSasa Jaribu uone 🤣🤣
Hizo barua huwa ziko fasta sana kuliko hata Posho ya mwezi..
Kwa wale wa Wizarani (Serikali kuu) Utasikia kamati ya Maadili imekaa imeamua kwamba......
au
kwa wale wa Halmashauri utasikia kamati ya Madiwani imeridhia kuwa Usimamishwe kazi au ufukuzwe kazi au Upewe adhabu hii...
Kwa kutokufika kazini bila taarifa rasmi kwa mwajiri
Watu wana economic freedom maana uzi haujatembea kabisaUzi utembeee
hela zishaingia mkuu wahi ATM... Mama anaupiga mwingi sana abarikiwe sanaWatu wana economic freedom maana uzi haujatembea kabisa
Posho ya utumwa hahahahela zishaingia mkuu wahi ATM... Mama anaupiga mwingi sana abarikiwe sana
"Posho ya utumwa"hela zishaingia mkuu wahi ATM... Mama anaupiga mwingi sana abarikiwe sana
Hii posho ya utumwa kwangu mbona siioni Dr"Posho ya utumwa"
🤣🤣🤣🤣🤣
tofauti watumwa walikuwa hawalipwiiii"Posho ya utumwa"
🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna Kitu bado mkuu...Piga kazi...Hii posho ya utumwa kwangu mbona siioni Dr