Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Hahahahaha km mshahara ni jumatatu basi hata watumishi wataenda kazini jumatatu... Mbna ni simple mathematics
Sasa Jaribu uone 🤣🤣
Hizo barua huwa ziko fasta sana kuliko hata Posho ya mwezi..

Kwa wale wa Wizarani (Serikali kuu) Utasikia kamati ya Maadili imekaa imeamua kwamba......
au
kwa wale wa Halmashauri utasikia kamati ya Madiwani imeridhia kuwa Usimamishwe kazi au ufukuzwe kazi au Upewe adhabu hii...
Kwa kutokufika kazini bila taarifa rasmi kwa mwajiri
 
Barua inatolewa haraka as if ilikua ishaandaliwa
 
Back
Top Bottom