Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Imenipata songea mjin pale karibu na tanesko.nmb nilichemka folen ikabdi niende songea girls chin chin kule kwa mzee roberts
Yaani sijui wana matatizo gani kwasababu ikifika tu mda hawasubiriani hata kidogo wanajazana yaani wanafunzi wangekuwa wanafanya vile wangewachapa.
 
Kupitia kwenye hili sakata la kuchelewa kwa mishahara nimegundua kuwa watumishi wengi siku hizi wakiajiriwa hawapati mafunzo ya kiutumishi kitu kidogo mtu ameshapost yaani mpaka boda wanajua mshahara haujatoka nimeshangaa zaidi kusikia mtangazaji anaongelea hii issue kwenye redio hawa ajira mpya na watumishi wengine wa umma wanatakiwa waenda training hawana siri
Siri kucheleweshewa haki zao bila taarifa? Siri ili kumlinda nani na kwanini?
 
Back
Top Bottom