pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Yaani sijui wana matatizo gani kwasababu ikifika tu mda hawasubiriani hata kidogo wanajazana yaani wanafunzi wangekuwa wanafanya vile wangewachapa.Imenipata songea mjin pale karibu na tanesko.nmb nilichemka folen ikabdi niende songea girls chin chin kule kwa mzee roberts