Khaa!! Hicho cheo hakipo jeshini bana :A S-baby:Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
Hata ya wale wanaojiwakilisha kule bungeni nayo haichelewiMimi binafsi sijui kwa kweli, ila ninachojua mimi mishahara ya wanajeshi huwa haichelewi, yaani serikali hata iishiwe vipi, lakini hela ya kuwalipa wanajeshi huwa haikosekani.
Hivi kwa nini usiende kuulizia mishahara TRA, Bandari, BOT, Ikulu. Nenda kaulize huko kijana ndo wanaokula nchi hao
Huyo mwenye saa na kirungu sio warrant officer cheo chake nimesahau
Mshahara wa mtu ni siri yake na mwajiri.
Wanajeshi kikawaida hawana mishahara, wana posho tu
Nenda kambi ya jeshi yoyote iliyopo karibu nawe kaulize na ili upate jibu la uhakika nenda moja kwa moja hadi kwa mkuu wa kambi...huyo atakupa majibu sahihi kabisa unayohitaji na tena anaweza kukupa na nyongeza.
Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
Hapana mkuu umeingia chaka, jeshi lina scale zao kwa ilivyo kwa walimu. Arrangement za scale ime-base kwenye
1: elimu
2: rank
3: proffesion
4: uzoefu
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza ku-display hizo scale hapa ila unaweza kukuta wanajeshi let say wa3 na wote ni ma-colonel lakini wanapishana mishahara.
Kweli umesahau maana unakosoa ukweli na umesahau uongo uliotaka kuandika.WO1 na WOII ndio kifupi cha afisa mteule daraja la kwanza na daraja la pili.
Nimekusoma mkuu ahsante kwa ufafanuzi mzuri maana nilikuwa napata shida kidogo ukiwaangalia luteni usu ni wadogo kiumri ila cheo kikubwa ukilinganisha ni hao sameja ambao wengi ni wazee kazinikuna waaovaa saa mkononi wanaitwa sir Meja....zipo saa za aina mbili saa ya kwanza inamwenge na saa ya pili inabibi na bwana.....huyu mwenye saa ya bibi na bwana ndio cheo cha mwisho kwa lever ya askari.....na hawa ndio huwa wakuu wa nidhamu katika kambi....wanamshara mkubwa kuliko hata Captain
Mkuu nimekupata kumbe umri kazini ni kigezo hata jeshiniNi WO I ndo kieefu chake warrant officer au kolokolo waswahili tumezoea
Hapo kolokolo ana mshahara mkubwa kuliko wa nyota 1
Sio kweli mbona mishahara inawekwa kwenye magazeti baada ya bunge la bajeti mwezi wa saba kila mtu anaiona.Kuna mamb mengine n vgumu kuyajadl, kujadl mshahara wa mjeda ni sawa na kuweka hadharani mapungufu ya mkeo wa zaman
Salary scale zote zinajulikana kijanaKuna mamb mengine n vgumu kuyajadl, kujadl mshahara wa mjeda ni sawa na kuweka hadharani mapungufu ya mkeo wa zaman
Hayo mashirika ya UMMA ndio yanayofaidi kodi zetuHii hata wewe mwenyewe ukiijua utakuwa kama wale wasouth
Nn tofauti ya ofisa na ofisa mteule?Na hapo wote ni maofisa tofauti huyo kolokolo ni ofisa mteule