Huyo mwenye saa na kirungu sio warrant officer cheo chake nimesahau
Kwani huyo mchepuko wako Luteni Usu amekudanganya analipwa ngapi?Ningependa kujua tu jeshini JWTZ kati ya Luteni usu(nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na Yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa? Je mishahara ya jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha askari?
Karibuni kwa ufafanuzi
Kwani huyo mchepuko wako Luteni Usu amekudanganya analipwa ngapi?
Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
Watu Wengine Mnapenda KIKI Za Kitoto! Hivi Ukisema Hicho Unachotaka Kutuambia Nani ATAKUJUA Humu JF? Kuna Njemba Humu JF Zina Kazi Za Maana Na Kubwa Lakini Ikifikia Wakati Wa Kuwaponda Wakubwa Wao au Kutoa Taarifa Zao Wanatoa Kwa Raha Zao Na Wala Hawakamatwi au Kujulikana Nina Mashaka Kama Kweli Wewe Ni Mjeda Na Ya Huko Huyajui Vizuri.
Hayo mashirika ya UMMA ndio yanayofaidi kodi zetu
Hata ya wale wanaojiwakilisha kule bungeni nayo haichelewi
Ahsante mkuukuna waaovaa saa mkononi wanaitwa sir Meja....zipo saa za aina mbili saa ya kwanza inamwenge na saa ya pili inabibi na bwana.....huyu mwenye saa ya bibi na bwana ndio cheo cha mwisho kwa lever ya askari.....na hawa ndio huwa wakuu wa nidhamu katika kambi....wanamshara mkubwa kuliko hata Captain
kuna waaovaa saa mkononi wanaitwa sir meja....zipo saa za aina mbili saa ya kwanza inamwenge na saa ya pili inabibi na bwana.....huyu mwenye saa ya bibi na bwana ndio cheo cha mwisho kwa lever ya askari.....na hawa ndio huwa wakuu wa nidhamu katika kambi....wanamshara mkubwa kuliko hata captain
ORDER
Imetolewa sasa hivi, hakuna ruhusa kujadili mambo ya kijeshi katika mitandao ya kiraia,
IMEZUILIWA.
umeitiwa ajira jeshini mkuu? ngoja waje wakufafanulie
Acha upotoshaji. Kama jenerali ni milioni 6 kivipi mkuu wa majeshi mil 15 wakati yeye ni Jenerali pia. Halafu unasema brigedia mil 5 na luteni usu mil 4. Unafaham naana ya luteni usu kweli mkuu? Nadhani kati ya luteni usu na huyo brigedia kuna vyeo vitano au sita kama sikosei.
Natamani modes wangefuta huu uzi maana unapelekea majibu ya kichochezi. Nadhani hata kule bungeni hawa jamaa mambo yao huwa hayaanikwi sana.
"Pro Patria"
Huyo mwenye saa na kirungu sio warrant officer cheo chake nimesahau
Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
Hakuna mwenye uwezo wa kuajiri wanajeshi dunia hii kijana,unaweza calculate value ya uhai wa mtu? kuwa mwanajeshi ni kurisk maisha.so kwa uelewa wangu kuhusu jeshini hawana mshahara wanaposho tuu ndio maana naskia ata hawaajiriwi..labda nenda upanga pale makao makuu yao kaulizie posho yao sh. ngapi sie ata atujui.