serikali ina kz nyingi kwa taarifa za chini ya kapet mshahara utachelewa sbb kulipa malimbikizo na vyeo vipya wataanza kulipwa mwezi huuLeo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Mimi standard seven sikatai hiyo elimu isiyo na financial freedom yanini?Std 7
serikal haijawah kushindwa kulipa mishahara yake.Dalili ya kwanza ya serikali iliyopo madarakani, kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake hamjui madhara yake Wala maana yake. Mtaelewa baadaye.
Bosi hanuniwi? Pale tu kabebwa na katiba.24 unalalamika? kuna taasisi qamezoea kupitishwa hadi tarehe 2.
lakin kama pia unaona ni ishu. tafuta biashara kuliko kukaa unasubiria mshahara wa serikal.. halad ulichelewa unalalamika.
boss hanuniwi
Kwa kweli nashangaa, kwani hata mwezi haujaisha! Afadhali ingekuwa tarehe 30 ndiyo ungeanza kulalamika.Hili nalo la kulaumu?
Ikifika tarehe 30, itakuwa watumishi wamefanya kazi zaidi ya mwezi mmoja bila malipo. Maana mwezi Jana mishahara ilitoka tarehe 23 hadi 24.Kwa kweli nashangaa, kwani hata mwezi haujaisha! Afadhali ingekuwa tarehe 30 ndiyo ungeanza kulalamika.
Huku mtaani tunalipwa kuanzia tarehe 36-50 yaani baada ya tarehe30, kuanzia tarehe 6 ya mwezi mwingine hadi tarehe 20Uchumi wa kati ukikazia. Mshahara hadi siku ya mwisho wa mwezi June 30.
Std 7 at least anajitambua hasubiri kupewa pesa mpaka mwisho wa mwezi kama ulivyo wewe,accountant upo hapa unaviimba na take home yako 535K unajikuta na wewe mjanja,kwa wasomi dizain yako Musukuma hakosei akiwaona wasomi wa nchi hii kama kituko.Std 7
Sasa kama aliweka mishahara fixed, hakuna cha nyongeza wala madaraja kwa miaka 6 ni wazi kusingekuwa na marekebisho yoyote jambo ambalo lisingechelewesha mishahara.....Kati ya vitu JPM alifanikiwa sana ni kuweka predictability na consistency katika utawala wake, na kwake suala la mishahara ya wafanyakazi hakucheza nalo. Sikutegemea kabisa kama hili la mshahara lingeanza kuchezewa mapema hivi.
Suala la kuchelewesha mishahara halina uhusiano wowote na kiwango cha mishahara inayolipwa. Mwajiri hulipa mshahara kwa kadri ya uwezo wake, lakini ulipwe kwa wakati. Fluctuation ya namna yoyote ile katika tarehe za kulipa mshahara hudhihirisha either huna cha kulipa au huna nidhamu/unapuuza tu wafanyakazi wako.Sasa kama aliweka mishahara fixed, hakuna cha nyongeza wala madaraja kwa miaka 6 ni wazi kusingekuwa na marekebisho yoyote jambo ambalo lisingechelewesha mishahara.....
Hii comment yako ni kutetea ujinga tu.Kuna ka ujinga watu wengi wanako, eti mshahara umechelewa.
Mfano umepewa mshahara wako tarehe 25, na mshahara unaofuata unapokea tarehe 25. Sasa kuna tofauti gani na tarehe 30 hadi tarehe 30?
Idadi ya siku ni zile zile
Badala ya kuja na wazo kwamba mishahara isitishwe ndani ya miaka mitatu, ilifedha hizo zikaelekezwe kwenye miradi itakayoweza kujenga ajila za watu million kumi, we we unatuletea mishahara kuchelewa mapema hiii.Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.