Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
kama madaktari level ya degree walikua wanapokea mshahara mkubwa kuliko mwalimu Wa level ya degree sasa watashushwa hadi kufikia tgts hizo hapo juu!

Hamna kitu kama hiko, kwanza kwa miaka ya kusoma Hizo Degree mbili zinatofautiana....Hamna muujiza wa kufanana Salary MD na BscEd Serikalini.
 
COMFIRMED.
Kwa docs nilizoziona ni kwamba hakuna badiliko lolote la mshahara.
Ndugu tujizue kuwa tunatoa taarifa za kuzusha.
Haina maana kudanganya kwenye mada serious kama hizi.
Umeconfirm wapi wakati mshahara hujatoka bado. Usiwapanikishe madaktari wetu.
 
Mshahara wa mtumishi wa umma hutanguliwa na docs fulani fulani kwa maafisa husika na huonesha kiwango cha mshahara cha kila mtumishi kwa mwezi husika.
Walaka hujatoka bado ni siri. Kama kunamtu kakuambia waraka umetoka amekudanganya .
 
Wapi umeona neno waraka katika post zangu ndugu?
Naomba uandike vitu vya ukweli ndugu utawaribia siku watu. Kama uko sehemu nyeti useme tukuamini na sio kuandika CONFIRM. weka confirm na ushahidi tutakuamini .
 
Naomba uandike vitu vya ukweli ndugu utawaribia siku watu. Kama uko sehemu nyeti useme tukuamini na sio kuandika CONFIRM. weka confirm na ushahidi tutakuamini .
Mkuu siwezi kuweka ushahidi hapa.Taratibu za kazi haziruhusu. Ukweli ndio huo HAKUNA badiliko katika mshahara wa mwezi Agosti.
 
COMFIRMED.
Kwa docs nilizoziona ni kwamba hakuna badiliko lolote la mshahara.
Ndugu tujizue kuwa tunatoa taarifa za kuzusha.
Haina maana kudanganya kwenye mada serious kama hizi.
Unajua tetesi hizi za ongezeko kuna uwezekano kwa asilimia Kubwa zikawa kweli nji maana rahisi amekaa kimya,(bingwa wa majipu). Na mkuu huwa anapita huku .So raisi akiona jambo limeandikwa na linamuudhi lazima alitumbue kwa haraka. Sasa cha ajabu mtumbuaji yupo kimya, huenda ni kweli. NYONGEZA HIPO, NA NILAZIMA TUONGEZEWE KWA KUWA SERIKALI HII YA MAKUFULI NI MUELEWA WA UGUMU WA KAZI KUFANYA NA MAZINGIRA MAGUMU.
 
Labda mama Jesca kashauri
 
Mkuu Na wewe ni Mwl?unataka mshahara uongezwe hahaha
Rahisi- rais
Nyogeza- nyongeza
Kwani ulikuwa unafukuzwa kuandika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…