Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
Ni kosa kutoa mishahara namna hii. Tunakuja
 
hata kama ni kweli hela hiyo bado ni ndogo kwa maisha halisi ya mfanayakazi hususani mwalimu...huo ni ukubwa wa namba tu lakini kiuhalisia hako kahela ni ka kununulia visukari tu....

walimu tuache kujishusha kiasi hicho cha kuanza 'kuhamaki' kabisa eti hela nyingi hizo haiwezekani..

hivi nchi ina gesi, ina rasilimali kibao na tunaambiwa kila mwezi TRA wanavuka lengo..na mheshimiwa katoa watumishi hewa zaidi ya 10000 sasa asipoongeza mishahara hela zote hizo "zinazookolewa" kila siku zitaenda wapi? na kwanini asiwaongezee mashahara walimu kwani wamemkosea nini?
 
different iliyopo na inayotolewa sahivi ni mdogo sio kubwa kuhivyi! halafu watu kwakutunga number hamjambo ningeweka humu real ila mmmhhh kutumbuliwa na ujana huu nooo
Njoo PM Madam.
 
Mkikamatwa na kushitakiwa kwa makosa ya kimtandao mnaanza kulalamika kuwa serikali hii ni ya kidikteta!!

Mnataka muachwe tuu muendelee kutunga na kusambaza uongo mitandaoni?
 
Mhhhh, mbona imeshaishia Kwenye madeni hata kabla sijapata uhakika wake...
 
kama madaktari level ya degree walikua wanapokea mshahara mkubwa kuliko mwalimu Wa level ya degree sasa watashushwa hadi kufikia tgts hizo hapo juu!
Acheni uchochezi!Daktari level ya degree na mwalimu level ya degree walingane mishahara itakuwa tanzania ni nchi ya kwanza!Yaani mwalimu anayesoma miaka mitatu na daktari anayesoma miaka 5 walingane mishahara??Jamani tuache uchochezi
 
uko sawa kiongoz
 
Acheni uchochezi!Daktari level ya degree na mwalimu level ya degree walingane mishahara itakuwa tanzania ni nchi ya kwanza!Yaani mwalimu anayesoma miaka mitatu na daktari anayesoma miaka 5 walingane mishahara??Jamani tuache uchochezi
Fuatilia mishahara ya walimu wa Ujerumani na Japan.

Usidhani kila nchi inafanya utani na elimu.
 
Aliapa kuua shule za private na kwa mishahara hii private school zitageuka mabanda ya kuku wa kisasa labda wadouble mishahara ya walimu wao kuzid kiwango hicho
 
Fuatilia mishahara ya walimu wa Ujerumani na Japan.

Usidhani kila nchi inafanya utani na elimu.
Hujui hata niko wapi so ni bora ukakaa kimya, maana umetaja nchi ambayo mojawapo kwa sasa ninavyoandika ndipo nilipo
 
Watu hawataamini mwisho wa mwezi kukuta ongezeko la elfu tatu litokanalo na ile punguzo la kodi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…