Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
B
Watanzania n wajinga sana...kwani nyie bajeti yenu hamkuisikia? Je walisema.patkuwa na nyongeza ya mshshara? WATZ bana
Budget ilisomwa gizani, matarajio ya nyongeza yatatokana na lile punguzo la kodi la 2%
 
kweli ualimu unaudharau kiasi hiki? kwani mwalimu hana haki ya kulipwa mshahara mkubwa?
 
Watu hawataamini mwisho wa mwezi kukuta ongezeko la elfu tatu litokanalo na ile punguzo la kodi
Asiye amini nami nitamshangaa pia.Hilo punguzo la kweli ndilo la uhakika.haya mengine watu wanajifurahisha tu ili siku ziende! Na pia wajiandae kisaikolojia watakapo kuta matumaini yao hayapo
 
Asiye amini nami nitamshangaa pia.Hilo punguzo la kweli ndilo la uhakika.haya mengine watu wanajifurahisha tu ili siku ziende! Na pia wajiandae kisaikolojia watakapo kuta matumaini yao hayapo
Mkuu, na siyo mbali wala, ni takribani majuma 2 tu yanayo kuja.
 
Hakuna Afisa Utumishi humu atuangalizie kwenye mifumo ya mishahara yaani "LAWSON'' ili kuondoa ubishi
 
Magufuli hawezi kuruhusu mshahara kuongezeka hivyo!Anawaonea wivu mno wafanyakaz kupata pesa hivhiv.Jpm si ajabu huwa anajishika kichwani kila anapouona mtumishi wa umma anapata hela.
Hahaa,nmecheka saana mkuu
 
Acha uongo madaktari wamepunguziwa walimu ndio waongezewe? Haitatokea mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…