Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
23 Hadi 23 ya mwezi unaifuata si siku 30 hizoYani umshukuru mtu kwa kukupa mshahara tarehe 23 kweli ni akili au matope. Anayepewa tarehe 23 na 30 tofauti yenu ni nini? Badala umshukuru mtu anaeongeza maslahi ya watumishi umshukuru mtu anaehakikisha unapata mshahra tarehe 23.
KaribuMamy naomba nije pm
Reflection ya kupandishwa Madaraja ni mwezi Julai hivyo haiwezi athiri Mshahara wa Mei, issue kubwa ni kwamba Mfumo umezingua toka wiki iliyopita hivyo uhakiki wa Mishahara umefanyika Manually sio kwa Mfumo!!!wanarekebisha kwanza mishahara ya wanaopanda madaraja(wanaostahili)
kwaiyo mshahara mpk tar 25 au 26
Kwa hiyo safari hii itakuwa kulipwa dirishani! ama kweli Tanesco wametia nuksi kila mahali....Reflection ya kupandishwa Madaraja ni mwezi Julai hivyo haiwezi athiri Mshahara wa Mei, issue kubwa ni kwamba Mfumo umezingua toka wiki iliyopita hivyo uhakiki wa Mishahara umefanyika Manually sio kwa Mfumo!!!
Ha ahaa a.., lahasha! Utatumika utaratibu wa kawaida, kilichobadilika ni muda uliotumika kuhakiki Watumishi kazi ambayo imelazimu watu kukesha wakifanya kazi, ingawaje mambo yatakuwa mazuri ASAP!Kwa hiyo safari hii itakuwa kulipwa dirishani! ama kweli Tanesco wametia nuksi kila mahali....
Ndio maana watu wanaitwa wanyongeAnadhania kupata kila tar 23 ni kuwahi kumbe ni siku 30 zile zile.
Yan maisha ya mshahara magumu sana, ikifika katikati ya mwezi nakuwa mweupe kabisa, alafu swala LA Ku save kwangu ni gumu, lazima nitavunja kibubu tu, mahitaji hayaishi. Inafika kipindi unakopa mpaka nauli,Kopa! Anzisha biashara/mradi wowote ule wa kukufanya usiwe mtumwa wa mshahara. Hayo maisha unayopitia sasa nayakumbuka sana hata mimi nilipitia! Ila baada ya kuingia JPM, ilinilazimu kujiongeza.
Kwa sasa hata wasiponilipa mwaka mzima, kudadeki! hata sishtuki.
Pole mtumishi mwenzangu. Hapo dawa pekee ni kuanzisha tu ofisi yako nje ya hiyo kazi unayoifanya. Kinyume na hapo, ni lazima utaumia sana.Yan maisha ya mshahara magumu sana, ikifika katikati ya mwezi nakuwa mweupe kabisa, alafu swala LA Ku save kwangu ni gumu, lazima nitavunja kibubu tu, mahitaji hayaishi. Inafika kipindi unakopa mpaka nauli,
Hah noma sana
Bora ww katikati huna kitu..kuna wenzako tar 1 hana hata 10000/- alafu ana Phd..uwiiii uwiii sitaki mmYan maisha ya mshahara magumu sana, ikifika katikati ya mwezi nakuwa mweupe kabisa, alafu swala LA Ku save kwangu ni gumu, lazima nitavunja kibubu tu, mahitaji hayaishi. Inafika kipindi unakopa mpaka nauli,
Hah noma sana
Mkuu kama huwez simamia biashara kutokana na kuajiriwa bas tafuta hata 1m uanze kukopesha hapo kazini kwako kwa watu unaowafahamu! Analeta dhamana mfano laptop..unampa hela...utaishi poa... yaani fanya hivi..kwa mwezi ni wikin4..kila wiki kopesha mtukwa mwezi unakua umekopesha wa4..so hao uhakika wakukurudishia yote haupo so unakula zako riba ..sasa kila wiki ukapata riba zako za watu wanne ni zaidi ya laki. Hujaweka mafuta gari? Unatumia late say 50, inayobaki unaisave nxt week tena kuna watu watakupa riba..kumbuka hapo mtaji wako bado wanao wao..tuu shauri tu lakiniYan maisha ya mshahara magumu sana, ikifika katikati ya mwezi nakuwa mweupe kabisa, alafu swala LA Ku save kwangu ni gumu, lazima nitavunja kibubu tu, mahitaji hayaishi. Inafika kipindi unakopa mpaka nauli,
Hah noma sana
haifanyi kazi kwa wote, nadhan kila mmoja ana riziki yake! wengine hawatoi wanafanikiwa, wengine wanatoa hawafanikiwi.....Toa sadaka na zaka wasaidie wasiojiweza..then thank me later!
Ohhh kuna ukweli...lakini it works a lot...sio paap..nop..utaona tu mambo mengi yanafunguka sana...sijui lakini maana ni imani kila mtu anaamini kivyakehaifanyi kazi kwa wote, nadhan kila mmoja ana riziki yake! wengine hawatoi wanafanikiwa, wengine wanatoa hawafanikiwi.....
Nani kakudanganyaReflection ya kupandishwa Madaraja ni mwezi Julai hivyo haiwezi athiri Mshahara wa Mei, issue kubwa ni kwamba Mfumo umezingua toka wiki iliyopita hivyo uhakiki wa Mishahara umefanyika Manually sio kwa Mfumo!!!
Ushahuri mzuri, nitaufanyia research zaidMkuu kama huwez simamia biashara kutokana na kuajiriwa bas tafuta hata 1m uanze kukopesha hapo kazini kwako kwa watu unaowafahamu! Analeta dhamana mfano laptop..unampa hela...utaishi poa... yaani fanya hivi..kwa mwezi ni wikin4..kila wiki kopesha mtukwa mwezi unakua umekopesha wa4..so hao uhakika wakukurudishia yote haupo so unakula zako riba ..sasa kila wiki ukapata riba zako za watu wanne ni zaidi ya laki. Hujaweka mafuta gari? Unatumia late say 50, inayobaki unaisave nxt week tena kuna watu watakupa riba..kumbuka hapo mtaji wako bado wanao wao..tuu shauri tu lakini
Haha kwanza kabla hata hela haijaingia, imeshaishaBora ww katikati huna kitu..kuna wenzako tar 1 hana hata 10000/- alafu ana Phd..uwiiii uwiii sitaki mm
Kunidanganya kuhusu nn?Nani kakudanganya