Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Yani umshukuru mtu kwa kukupa mshahara tarehe 23 kweli ni akili au matope. Anayepewa tarehe 23 na 30 tofauti yenu ni nini? Badala umshukuru mtu anaeongeza maslahi ya watumishi umshukuru mtu anaehakikisha unapata mshahra tarehe 23.
23 Hadi 23 ya mwezi unaifuata si siku 30 hizo

30 Hadi 30 si no siku 30 hizo

Mwendazake ashukuriwe kwa lipi[emoji15]
 
Reflection ya kupandishwa Madaraja ni mwezi Julai hivyo haiwezi athiri Mshahara wa Mei, issue kubwa ni kwamba Mfumo umezingua toka wiki iliyopita hivyo uhakiki wa Mishahara umefanyika Manually sio kwa Mfumo!!!
Kwa hiyo safari hii itakuwa kulipwa dirishani! ama kweli Tanesco wametia nuksi kila mahali....
 
Ha ahaa a.., lahasha! Utatumika utaratibu wa kawaida, kilichobadilika ni muda uliotumika kuhakiki Watumishi kazi ambayo imelazimu watu kukesha wakifanya kazi, ingawaje mambo yatakuwa mazuri ASAP!
 
kwa uzi huu na jinsi ya uchangiaji ni ushahidi kuwa hali za watumishi ni hoi....choka mbaya!!

Katiba ya nchi yetu inasema hii ni nchi ya KIJAMAA lkn haina uhalisia kabisa!!! kuna Tabaka kubwa sana kati ya walio nacho na wasio nacho.
 
Kopa! Anzisha biashara/mradi wowote ule wa kukufanya usiwe mtumwa wa mshahara. Hayo maisha unayopitia sasa nayakumbuka sana hata mimi nilipitia! Ila baada ya kuingia JPM, ilinilazimu kujiongeza.

Kwa sasa hata wasiponilipa mwaka mzima, kudadeki! hata sishtuki.
Yan maisha ya mshahara magumu sana, ikifika katikati ya mwezi nakuwa mweupe kabisa, alafu swala LA Ku save kwangu ni gumu, lazima nitavunja kibubu tu, mahitaji hayaishi. Inafika kipindi unakopa mpaka nauli,

Hah noma sana
 
Pole mtumishi mwenzangu. Hapo dawa pekee ni kuanzisha tu ofisi yako nje ya hiyo kazi unayoifanya. Kinyume na hapo, ni lazima utaumia sana.
 
Yan maisha ya mshahara magumu sana, ikifika katikati ya mwezi nakuwa mweupe kabisa, alafu swala LA Ku save kwangu ni gumu, lazima nitavunja kibubu tu, mahitaji hayaishi. Inafika kipindi unakopa mpaka nauli,

Hah noma sana
Bora ww katikati huna kitu..kuna wenzako tar 1 hana hata 10000/- alafu ana Phd..uwiiii uwiii sitaki mm
 
Mbona taarifa imeshatolewa mshahara unarudishwa tarehe 30 jikaze kaze mkuu kunywa chai na wali bila mboga ni siku chache zimebaki
 
Yan maisha ya mshahara magumu sana, ikifika katikati ya mwezi nakuwa mweupe kabisa, alafu swala LA Ku save kwangu ni gumu, lazima nitavunja kibubu tu, mahitaji hayaishi. Inafika kipindi unakopa mpaka nauli,

Hah noma sana
Mkuu kama huwez simamia biashara kutokana na kuajiriwa bas tafuta hata 1m uanze kukopesha hapo kazini kwako kwa watu unaowafahamu! Analeta dhamana mfano laptop..unampa hela...utaishi poa... yaani fanya hivi..kwa mwezi ni wikin4..kila wiki kopesha mtukwa mwezi unakua umekopesha wa4..so hao uhakika wakukurudishia yote haupo so unakula zako riba ..sasa kila wiki ukapata riba zako za watu wanne ni zaidi ya laki. Hujaweka mafuta gari? Unatumia late say 50, inayobaki unaisave nxt week tena kuna watu watakupa riba..kumbuka hapo mtaji wako bado wanao wao..tuu shauri tu lakini
 
haifanyi kazi kwa wote, nadhan kila mmoja ana riziki yake! wengine hawatoi wanafanikiwa, wengine wanatoa hawafanikiwi.....
Ohhh kuna ukweli...lakini it works a lot...sio paap..nop..utaona tu mambo mengi yanafunguka sana...sijui lakini maana ni imani kila mtu anaamini kivyake
 
Reflection ya kupandishwa Madaraja ni mwezi Julai hivyo haiwezi athiri Mshahara wa Mei, issue kubwa ni kwamba Mfumo umezingua toka wiki iliyopita hivyo uhakiki wa Mishahara umefanyika Manually sio kwa Mfumo!!!
Nani kakudanganya
 
Mkuu kama huwez simamia biashara kutokana na kuajiriwa bas tafuta hata 1m uanze kukopesha hapo kazini kwako kwa watu unaowafahamu! Analeta dhamana mfano laptop..unampa hela...utaishi poa... yaani fanya hivi..kwa mwezi ni wikin4..kila wiki kopesha mtukwa mwezi unakua umekopesha wa4..so hao uhakika wakukurudishia yote haupo so unakula zako riba ..sasa kila wiki ukapata riba zako za watu wanne ni zaidi ya laki. Hujaweka mafuta gari? Unatumia late say 50, inayobaki unaisave nxt week tena kuna watu watakupa riba..kumbuka hapo mtaji wako bado wanao wao..tuu shauri tu lakini
Ushahuri mzuri, nitaufanyia research zaid
 
Back
Top Bottom