Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Ohhh kuna ukweli...lakini it works a lot...sio paap..nop..utaona tu mambo mengi yanafunguka sana...sijui lakini maana ni imani kila mtu anaamini kivyake
ila kwa habari ya kuwapa wahitaji naungana na wewe 100%, ni jambo zuri kusaidiana katika jamii........


hiyo ya mafungu ya 10 daaah....... hadi kuna wakati huwa nahisi labda tafsiri yake hatuijui
 
Pole mtumishi mwenzangu. Hapo dawa pekee ni kuanzisha tu ofisi yako nje ya hiyo kazi unayoifanya. Kinyume na hapo, ni lazima utaumia sana.
Nataka kujifunza any hands skills, apart from my professional, najua kazi ndogo ndogo za mtaani nitakuwa sikosi

Naona kufungua biashara, sitaweza, biashara haina dhamana, unaweza ukavaa chupi kichwani, na mtaji umekopa
 
ila kwa habari ya kuwapa wahitaji naungana na wewe 100%, ni jambo zuri kusaidiana katika jamii........


hiyo ya mafungu ya 10 daaah....... hadi kuna wakati huwa nahisi labda tafsiri yake hatuijui
Mimi hiyo 10% kiukweli siitoi direct kanisani..nachofanya kukiwa na michango naiongezea huko..au nanunua maua napeleka kanisani..masuala ya kumfaidisha mchungaji hapana...nanunua vitambaa vya kanisa au maua ila mostly kwenye michango ndo naimalizia zaidi huko...mchungaj aendeshe ndinga kali mie niishi kuswampa aku
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wachungaji wa kipentekoste watakuletea mahubiri mpk ukome
 
Uko sawa. Kwamfano unamtaji wa laki 2 umetengeneza faida yako kwa siku
26, 000 halafu uende ukatoe msaada wa sh 40000... Tegemea biashara yako kuanguka.
Unajua mkuu tunamuibia sana Mungu wetu ? Sidhan km ni sawa kumuibia Mungu malimbuko yake/stahiki zake .hapo Mungu ndo anatupimaga uaminifu wetu kwake...
Una mtaji wa 200k toa kilicho ndani ya uwezo wako kias kwamba hutaona gape!
 
Hope wewe sio mtumishi, mbona kwa huyo huyo mwenda zake ilishawahi kuvuka tarehe 23. Hata hivyo tarehe 23 inaangukia j2 mshahara ukitoka j3 kuna shida gani?
 
Mishara kulipwa tar.22 sio hoja hoja ni kulipwa kila mwezi unapokamilika hata kama ni tar. 10 ya kila mwezi.
 
Mbona wengine tayari. Upo sector gani ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…