There is power in giving. Hili somo halieleweki kwa tulio wengi. The more you give the more you receive.
Uko sawa. Kwamfano unamtaji wa laki 2 umetengeneza faida yako kwa siku
26, 000 halafu uende ukatoe msaada wa sh 40000... Tegemea biashara yako kuanguka.
10% ni hak ya watumish wa Mungu,nilazima uitoe na ni nje ya kusaidia wenye uhitaj,Mimi hiyo 10% kiukweli siitoi direct kanisani..nachofanya kukiwa na michango naiongezea huko..au nanunua maua napeleka kanisani..masuala ya kumfaidisha mchungaji hapana...nanunua vitambaa vya kanisa au maua ila mostly kwenye michango ndo naimalizia zaidi huko...mchungaj aendeshe ndinga kali mie niishi kuswampa aku
Kuna tofauti sana Kati ya sadaka na matoleo na wengi wanalazimisha matoleo yawe sadaka, sadaka ni kitu kinamgusa Mungu au shetani na kufanya ashukuriwe, mfano umpe maji mtu mwenye kiu kiasi cha kumfanya amshukuru Mungu ambayo ni sifa Mungu anayoipenda sana au shetani pia anaipenda sasa hiyo ndo sadaka itayofanya ubarikiwe, na matoleo yenyewe tunatoa kwaajili ya kuendesha kikundi kiendelee kuwepo.Very true. Fuatilia pia waasisi wa makampuni makubwa duniani kama Coca cola walichofanya.. sadaka na zaka ni habari nyingine kabisa. Na kiimani, mahali pekee ambapo Mungu na Shetani wamefanana ni kwenye sadaka
Sawa..mfano mwinjilist anaenda mkoa kuhubiri nampa 50 je sio hiyo?10% ni hak ya watumish wa Mungu,nilazima uitoe na ni nje ya kusaidia wenye uhitaj,
Nakumbuka kuna mwezi mishahara ililipwa tarehe 19 kama sijakosea ni June 2020Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.
Tumpe muda tuone.
Wanajeshi wamewekewa jana mzee.hakuna kitu idara gani hiyo, mpaka sasa hamna kitu
Bado sijashawishika kabisa kuwa Mungu anapenda sana sifa, nini kinathibbitisha hilo pasipo shakaumpe maji mtu mwenye kiu kiasi cha kumfanya amshukuru Mungu ambayo ni sifa Mungu anayoipenda sana
Mkuu wewe ni foreigner umejuaje mambo ya ndani ya nchi wakati wenye nchi hawajui?Wanajeshi wamewekewa jana mzee.
Wewe hujajua kuhusu kutoa (sadaka), kajifunze kwanza kuhusu sehemu ya kumi ndipo utaelewa na hutoanguka ktk biashara yako. Utakuja washukuru watu badae
Kwa amri ya Mungu yupi? au binadamu na tamaa za unyonyaji. Ntawasaidia wasiojiweza tu, wanunuaji magari makali na majumba ya kifahari wasahau. Hata sadaka sitoi, nitaishia michango ya kazi zinazoonekana.10% ni hak ya watumish wa Mungu,nilazima uitoe na ni nje ya kusaidia wenye uhitaj,
Mbona wajeda nimewaona mitaa ya kunako ATM mapema sana tangu wiki iliyopita...Wanajeshi wamewekewa jana mzee.
Wengi washapata, labda weweBarua hazijatoka,au wanaweza kubadili kabla ya barua kutoka?
Kwa amri ya Mungu yupi? au binadamu na tamaa za unyonyaji. Ntawasaidia wasiojiweza tu, wanunuaji magari makali na majumba ya kifahari wasahau. Hata sadaka sitoi, nitaishia michango ya kazi zinazoonekana.
Hakuna changamoto, subiri mshahara wa may then nenda KWA afisa utumishiJAMANI NAOMBA KUULIZA HOJA YA KUBADILI AKAUNTI YA MSHAHARA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE KUNA CHANGAMOTO YOYOTE WAWEZA PATA? JE INACHELEWA KUBADILISHWA?
Hahaha,Mkuu wewe ni foreigner umejuaje mambo ya ndani ya nchi wakati wenye nchi hawajui?View attachment 1795011
Nkoi, Baada ya kujifunza umuhimu wa zaka na kuanza kutoa 10% sasa mtumishi ndio kajua kipato changu. Mf. Akikuta bahasha ina 100k basi anajua kuna 900k imebaki. (Huu ni mfano tu)Sawa..mfano mwinjilist anaenda mkoa kuhubiri nampa 50 je sio hiyo?
Hakuna changamoto, subiri mshahara wa may then nenda KWA afisa utumishi
Sheria ya mshahara (Mkataba) wa watumishi Tanzania unamruhusu mwajiriwa kuanza kudai mshahara baada ya kila tarehe 25 ya mwezi. Siyo hadi mwezi uishe!! Tuwe na subira kwani hizi ndizo tarehe za mshahara bila kudai!!Kama mwezi haujaisha acha kujilalamisha
Mimi niliudhika feb hii ..niliugua nusu kufa .hakuna hata mmoja aliyekuja niona .lakini kwenye kuomba kuongezewa nauli hawakauki..yaani inakuwa ma opportunist .kuna sku kanisani mwinjilist walikua wanampgia mahesabu alale gest ya shiliningi 5000..aisee nilisimama nikasema jaman hata kanisa halina hela hebu oneni aibu bas nikamwambia mwinjilist utalala Pa 15000 ntaitoa mm na wanangu! Lakini nimeugua sijaenda kanisanj mwez hakuna hata kuuliza..alafu naposali na kanisani ni nyumba 6 tu .yaan hata katoto ka 4 yrs kanatembea ..ss hv nasali mjinii..wananionaga napita kama upepo shwaaa!Nkoi, Baada ya kujifunza umuhimu wa zaka na kuanza kutoa 10% sasa mtumishi ndio kajua kipato changu. Mf. Akikuta bahasha ina 100k basi anajua kuna 900k imebaki.
Simu hazikatiki, mara ana safari, mara soup (sio 10k au 20k) , mara kodi ya nyumba, mara smartphone, vocha n.k yani kila mwezi ni hekaheka.
Nimeshindwa. Natafuta namna nyingine ya kutoa.