Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

Wayahudi wanatetewa na Mungu wao na ndo maana wapo hapo kama ambavyo wapalestina wanavyotetewa na mungu wao anaitwa allah ambaye cha ajabu anaruhusu watu wake wapewe kipondo
na wale Waisrael zaidi ya 1,000 mungu wao anaitwa yesu aliruhusu wafe?
 
Misri anakataa kufungua mpaka Kwa kile kinachodaiwan, Israel kuwaamisha Waparestina Kwa nguvu.
anakataa nini kufungua mpaka wake awahifadhi ndugu zake hao wachokozi wakajifunze namna ya kutunza amani kwao?
 
ndio tunasema misri iache unafiki, ifungue tu mpaka wake wakimbizi waingie kwake. Kama haitaki kukaa nao iwapeleke kwenye nchi mmojawapo mwanachama wa arab league au huo umoja wao wagawane wakimbizi hao kuwahifadhi ndugu zao.
 
Nyau anasema na huo ni mfano wa kisasi[emoji16][emoji16][emoji16], kisasi kamiliki kinakuja [emoji15][emoji15][emoji15]
Mdogo wake Yoni hana utani,safari hii ameamua kuwashikisha adabu kabisa ili wasije rudia tena.
 
Katika hiyo sehemu ya mwisho,ya taarifa,nami nimeona Eljaazira.
Inammnisha walikubali watu wafe ili wapate room isiyo na lawama kuichukua Gaza, japo nadhani hawakutegemea kutokea madhara makubwa kiasi hicho.
 
Hakuna misaada ,Hatuwezi kuruhusu mbwa wapewe misaada hiyo
 
Bro tangu mwanzo humu nilitangulia kuwaambia ile kitu ni inside job. Israel alikuwa anatafuta sababu ya kuingia Gaza kumaliza kazi na kashaipata. We hujiuliz masaa sita Israel ilikuwa wapi hawa jamaa wanafanya yao. Mzee waarabu wametegwa wakajaa. Sasa shughuli yake sasa. Na misri hataki kufungua mpaka maana akifungua tu wapalestina watakimbilia huko. Na wakienda tu Israel inalichukua eneo lao biashara imeisha hiyo. Ndio maana hawataki kufungua bora mfe lakin mwisho wa siku Israel akimalizana na Hamas watakaosalia watakuwa na nchi yao. So fikiria nje ya box Mzee uache kulaumu laum hiz Mambo ni akili ya juu sana kuyaelewa.
 
Misiri ni mnafiki pia kwa sababu alikua anajua Gaza wanapanga shambulio kubwa dhidi ya Israel, akaenda kuwaambia Israel sema Israel wakapuuza hiyo taarifa ya Misri na yakatokea ya kutokea.

Sasa kama huo sio unafiki ni nini?

Scenario nyingine ni kuwa,huenda Israel iliamua iache iwe hivyo ipate sababu ya kuwatandika vizuri.Maana si tu Egypt iliyowapa taarifa,hata Pentagon pia iliwataarifu na wakawa wanajua kinachoendelea.Huoni kama kisasi kinalipwa kwa nguvu zote.
 
ngojeni kwanza dawa iwaingie, next time watakuwa na adabu. Kosa lao ni kuwafuga hao magaidi majumbani mwao. Kitendo cha kuchinja watoto wa ki Islael na kubaka mabinti wadogo huku wakirusha video na kushangilia mitaani ni cha kishetwaini kabisa - hakikubaliki kwa sheria za Mbinguni na za Duniani. waadabishwe kunguru hao.
 
Nipo na Palestine hadi mwisho kwn niwajinga tu watakuwa upande wa Israel. Miaka yote uonevu tu.
ww mwenye akili unashabikia mijitu mibaguzi , kila mmoja alipewa eneo lake ila wapalestina tamaa zao wakataka lichukua eneo dogo kbs la waisrael licha ya kuwa wao walipewa krb eneo mara nne ya lile la waisrael , bas tamaa yao ndo imewafikisha hapo , ukiwa mpuuz unasoma historia nusu nusu utaona kama wanaonewa ila hayo yote ni matokeo ya tamaa zao , kama wangeamua kujenga taifa lao kipindi hicho wanhekuwa mbali zaid ya israel ila kwa akili zao fup wakaona waachane na kupambania kuwa nchi taifa linalotambulika kimataifa badala yake wakaona wawekeze kwenye kuwaondoa waisrael hapo mashariki ya kati na huo ndo mshahara wao , SIWEZ YAONEA HURUMA MAJITU MAJINGA , WENZAO WALIJIKITA KWENYE KUJENGA TAIFA NA LEO NI TAIFA IMARA , WAPALESTINA NI WABAGUZI SANA WATU HAWAELEW KISA UPOFU WA DINI , OGOPA SANA MTU ANAECHAGUA WAKUISHI NAE
 
Kwenye hili Misri ni the biggest hypocrite.... Misri ana mpaka wa moja kwa moja na Palestina, anashindwa nini kufikisha hiyo misaada.

In short, Misri kanunuliwa na mataifa ya Magharibi
sio kila mtu ananuniliwa ebu acheni akili za kijinga , hujui mahusiano yao kiundan ww unasubir utangaziwe kweny Tv , Hujui Libyia na Misri zilikuwa hazipatani je kuna mmoja alinunuliwa ? kuna maisha mbali na uwepo wa mataifa ya magharibi , USIZANI KILA MTU NI MWANASIASA MALAYA MALAYA KAMA HAWA WENU
 
Swali ni kwanini wanaomba kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wao... ni kama kuomba mtu ufungue macho yako mwenyewe
hv unahisi Israel anaeza acha upande mmoja hlf waarabu wautumie kutuma silaha ? Yaan Israel kablock kila njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…