Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

Mbona nyie mmepokea siraha kutoka USA kwamara yakwanza nasimama na palestina wanahujumiwa
kwahiyo kwenu unakimbizaga mwizi pekee yako ? yaan nyiny watu juz tu mlikuwa mnashabikia hamas kuua raia wema , leo mnaona haram Israel kujibu , sipat picha baba yako angekuwa miongoz mwa hao 260 sijui kama ungekuwa unaandika ujinga huu , na unajuwa kbs baba yako sio mwanajeshi wala mwanasiasa ila Hamas wanamchinja bila sabab maaalum na wanaacha kushambulia kambi za jeshi za waisrael
 
Vipi huyo ushoga Yesu wenu eti ni Mungu wenu ambae akashindwa kujiokoa msalabani akaishi kujinyea [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji12][emoji12]
wajomba mnaandikaga ujinga na mnasahau kuwa yesu pia ni nabii kwenu , sijui kama kwel mnaamin mungu yupo , mtu anaeamin mungu yupo haez msemea mtu mwingine uongo maana anajuwa kwa mungu ana hukumu yake , Naamin waislam wote wanajuwa hakuna mungu ndio maana mnachinja na kuwadhuru wasio na hatia
 
Vipi huyo ushoga Yesu wenu eti ni Mungu wenu ambae akashindwa kujiokoa msalabani akaishi kujinyea 🤪🤪🤪🤪😜😜
Hamueshimiani. Taratibu mpaka mtaanza kulipuana kama gaza kisa dini.
 

Waarabu n wanafiki kiujumla wanataka wapalestina wawe sadaka kwa israel !! Lakin hata siku moja huwezi ona nchi jiran zinazoizunguka palestina zikiwapokea
 
Haijalishi wanavyomuita anabaki kuwa ni yeye yule jana leo na hata milele kama ambavyo allah atabaki kuwa mungu wa mito ya pombe na mabikira 70 😭🤣😂
Hamueshimiani. Mkiheshimiana mtaheshimu imani zenu. Ng'ombe wana afadhali.
 
Arab league wapo kimya tu, walishawekwa mfukoni na USA kitambo.
 
ulijuaje mkuu ??
 
Ni kawaida samaki wakubwa kumeza wadogo, Israel wanatumia ubavu na nguvu kuonea na kuua watu bila ya haqi na uadilifu na hiyo imekua kawaida Yao Hali wanajua ukweli but nothing has got end one day wapalestine watalipwa maana justice never die
 
Mnaongeaga tu Kama walevi,hujaona Israel wakipiga makombora kivuko Cha kwenda misri na wamesema misri wakituma msafara wa misaada utashambuliwa....unaharisha tu!
 
Nipo na Palestine hadi mwisho kwn niwajinga tu watakuwa upande wa Israel. Miaka yote uonevu tu.
upo nao kwenye kibodi, nenda ukawasaidie kupigana, wenzako wanakufa, wanaishi kama digidigi we upo kwako/kwenu kwa raha zako unasema upo nao?
 
Acha uongo mkuu, Kwa sifa zote hizo walizokuwa wanapewa hao Israel zimewavua nguo kwenye tukio hili tena Kwa wangmgambo tuu wasio na Silaha za maana.
 
Acha uongo mkuu, Kwa sifa zote hizo walizokuwa wanapewa hao Israel zimewavua nguo kwenye tukio hili tena Kwa wangmgambo tuu wasio na Silaha za maana.
Hiv umesoma BBC Leo. Misri aliwastua na hata walipovamiwa walikaa kimya masaa 6. Unajua nini hicho. Unahtaji akili ya juu kulielewa hili. Na ili uamin ngoja vita iishe kama hawatasogeza eneo utakuja kuniambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…