Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Mi nadhani kigezo kikuu kiwe mchango wa mshiriki katika shughuli za kijamiii (jamii ya JF) like;
#1. Kuchangamsha/kuburudisha jukwaa
#2. Kutoa smart comments/analysis
#3. Kusaidia kimawazo watu wenye matatizo maalum (kuachwa, kutendwa, msongo wa mawazo nk)
modality; members wote wapewe fursa ya kupiga kura then panel maalum ita screen the top 10 scorers kupata miss jf
Ooohhhh jamani that's sooo sweet, yeah kuna babu yangu mzaa ba mkubwa wake rafiki angu ni wa tanga, so namie nna kautanga fresh flani hivi
Ha ha ha yasijenikuta ya sitti mtemvu nikanyang'anywa taji lol
Cc: sitti mtemvuUjue mambo mengine bwana magumu sana....ukiangalia vigezo ambavyo huwa vinatumika kwenye hili zoezi then ukajiangalia na ulivyo mwenyewe,licha ya kwamba hawakuoni na vigezo husika haviangaliwi.....unajikuta unaona aibu kidogo kushiriki
Hapo nampa Evelyn Salt
Cc: sitti mtemvu
Ama??? Huu undugu sijauelewa vizuri aisee...ila huyo mtoto wa kwny avatar anafanana sana na binti yangu, Huenda ndio maana huwa nashituka!
Mi nadhani kigezo kikuu kiwe mchango wa mshiriki katika shughuli za kijamiii (jamii ya JF) like;
#1. Kuchangamsha/kuburudisha jukwaa
#2. Kutoa smart comments/analysis
#3. Kusaidia kimawazo watu wenye matatizo maalum (kuachwa, kutendwa, msongo wa mawazo nk)
modality; members wote wapewe fursa ya kupiga kura then panel maalum ita screen the top 10 scorers kupata miss jf
Hahaa wifi yake shiriki bwana mi ntakusupport
Hahah ongeza dau basi nishiriki.....
Ngoja kwanza nichukue ushauri kwa miss atakaeachia taji charminglady
Ntashiriki umiss bantu hapa ntakua nacheat lol
Ha ha ha ha 😊 me nasubiri
Ha ha ha mie msukuma chapa ng'ombe mwayego tanga sipajui
Hahaa sie wengine sijui tutashiriki umiss nini
Ginehe mwanangwa mm natokea Sangamwalugesha pale😉
Pia uwe unaniombea nisijefanya kama dovutwa, aligawa kura zake ha ha ha ha
Hebu niambie we unataka nini kwa mfano?
Ha ha ha ah wewe bwana hilo usijali