Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Mi nadhani kigezo kikuu kiwe mchango wa mshiriki katika shughuli za kijamiii (jamii ya JF) like;
#1. Kuchangamsha/kuburudisha jukwaa
#2. Kutoa smart comments/analysis
#3. Kusaidia kimawazo watu wenye matatizo maalum (kuachwa, kutendwa, msongo wa mawazo nk)
modality; members wote wapewe fursa ya kupiga kura then panel maalum ita screen the top 10 scorers kupata miss jf
Hapo nampa Evelyn Salt
Last edited by a moderator: