Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Naomba kuwa mwalimu wa washiriki. Hii sehemu niko fiti. Niwafundishe jinsi ya kutembea, kuvaa, kuongea, kukaa, kutabasamu. Etc.

Upande wa wadhamini nimejitokeza sitoshindwa kumsmartisha mshindi.

Mkuu mbona hayo mambo hatutaweza kuyafanya? cha muhimu ni watu wajitokeze wajipigie kampeni.
mambo yaende.
 

Good sana!! utaisaidia sana kamati.
 
Kwa hiyo hakuna phy appearance tutaangalia mwandiko au
 
Ujue mambo mengine bwana magumu sana....ukiangalia vigezo ambavyo huwa vinatumika kwenye hili zoezi then ukajiangalia na ulivyo mwenyewe,licha ya kwamba hawakuoni na vigezo husika haviangaliwi.....unajikuta unaona aibu kidogo kushiriki

Hahahahaaaaa mumy uko vizurii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…