Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
HahaaAu tuingie tallying center . Kuna uchakachuaji wa matokeo🤣🤣🤣🤣
Team GENTAMYCINE wana edit kabla yajaenda tume😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaAu tuingie tallying center . Kuna uchakachuaji wa matokeo🤣🤣🤣🤣
Team GENTAMYCINE wana edit kabla yajaenda tume😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ya wazee kwa vijana 🤣🤣🤣🤣🤣🤭!Mapovu ya omo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaa
Si juzi tu hapa mlikuwa mnalala saa 12 jioni kisa mtoto mdogo (Ally Dangote), ama tumesahau?Kirahisi tu mtu wa Matejoo na Unga Ltd? Aisee ngumu lbd kama sijakulia Chugastan!
Wewe em hama huu uzi,, umekaapo sana as if hamna nyuzi nyingine huko kwingine 😂😂
Haya Mapouuv ya humu sasa 🤣🤭
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yawazee ni mengi zaidi...Ya wazee kwa vijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]!
Toa mwongozo 😂😂🏃♂️Wewe em hama huu uzi,, umekaapo sana as if hamna nyuzi nyingine huko kwingine 😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Depal huyo mchugastan ataleta vurumai akishinda
Embuu 🤣🤣Depal huyo mchugastan ataleta vurumai akishinda
Hii matipo choisi ungeisuka kuanzia hatua ya makundi (vigezo vya makundi yaweza kuwa ukongwe\muda wa uzoefu kazini😂😂😂)
Jamii forum hakuna mademu warembo! Pisi ziko insta, snapchat!! Shtukaaa🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
😂😁😁Depal huyo mchugastan ataleta vurumai akishinda
Kwahyo hizi fake id ndo hazikudanganyi? Yani unatengeneza uzi kabisa kushindanisha watu ambao hata hawaonekani! Akili huna? Kwanza una miaka mingap?Filter zinakudanganya Mkuu.
Kwahyo hizi fake id ndo hazikudanganyi? Yani unatengeneza uzi kabisa kushindanisha watu ambao hata hawaonekani! Akili huna? Kwanza una miaka mingap?