Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Picha zao halisi sijui katumia vigezo gani kuanzisha hili shindano.Picha au Avatar
te'Robert unapotea ndugu yangu'
Alisikika mshamba.
Wao hutowaskia wakiongelea 'Mr.jf' jinsia me tupunguze shobo😅
Mtaalam, eti wengine wanafanyaje🤣🤣🤣Asante kijana, wanaume wanajikomba sana...wakati wengine wanajipakulia tu
te
Au kucheka hairuhusiwi? 🤣🤣🤣🤣Wao hutowaskia wakiongelea 'Mr.jf' jinsia me tupunguze shobo😅
Hello miss woldiAunt Faiza 🥳
Hao wengine sina uhakika kama ni wadada..
Happy BD 🤣Hello miss woldi
Wanajisevia minyama tu, wengine wamebaki kusifia kama mazuzu, nimecheka sana😂😂😂Mtaalam, eti wengine wanafanyaje🤣🤣🤣
Mwaka huu ni wako, umesumbua sana dogo langu😂😂Happy BD 🤣
Kuna kabox umefungua leo? Au toka asbh mpk sahii umefanikiwa kufungua chupa ya chai tu kama mimi..
Yaani kuna wanajichekesha na kuna wapo kimya wamemaliza mtori wanajilia nyama tu mtaalam 🤣🤣🤣Wanajisevia minyama tu, wengine wameki kusifia kama mazuzu, nimecheka sana😂😂😂
Mzee tulia, halafu usicheke hadharani, tafuta uchocho😂Ni vigezo gani vimetumika kuwashindanisha hawa na sio wengine? Yaani hujaja na sababu za kuwashindanisha hawa, umeacha maelfu wengine. Bila vigezo hili "shindano" ni ubatili mtupu.