Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Leo wewe na mshamba_hachekwi mnaongea mazito sana.Watetea haki za wanawake hua ni wanaume. Wanaume hufanya hivyo wakifikiris kwamba wanaweza kupewa tamu kiurahisi. Ila kiuhalisia wanaume wasio na shobo kwa wanawake ndio huongoza kwa kura uroda bila kutumia nguvu yoyote🚶🚶🚶
Mbarikiwe