Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Ninatakiwa kumpigia kula hajawekwa yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Nimekutukana....umbwa wewe😂😂😂😂😂
 
Nikikukuta mbinguni nakuchomoa 🤣🤣
 
Watetea haki za wanawake hua ni wanaume. Wanaume hufanya hivyo wakifikiris kwamba wanaweza kupewa tamu kiurahisi. Ila kiuhalisia wanaume wasio na shobo kwa wanawake ndio huongoza kwa kura uroda bila kutumia nguvu yoyote🚶🚶🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…