Leo wewe na mshamba_hachekwi mnaongea mazito sana.Watetea haki za wanawake hua ni wanaume. Wanaume hufanya hivyo wakifikiris kwamba wanaweza kupewa tamu kiurahisi. Ila kiuhalisia wanaume wasio na shobo kwa wanawake ndio huongoza kwa kura uroda bila kutumia nguvu yoyote🚶🚶🚶
Haha.. you don’ know us.. we are not livin here..L
LAkini kwa mateso ndg zangu, mmeteseka sana.
Next time msikae karibu na choo cha shule, nimejifunza pakubwa sana
Bila picha hii ni ramri chonganishiKwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Mwakani jifunze kuwa na watu sahihi hata kama ni mmojaNi aibu 🤣🤣🤣
Mtu kazaliwa 55 anawezaje kuwa mrembo mpka sasaTena ana wajukuu yaani humu JF watu wanakuwa na mawazo ya hovyo sana
Ahsante… hahaaa nacheka sanaaaaaMwakani jifunze kuwa na watu sahihi hata kama ni mmoja
Hapana hiyo inahusu kwa sasa tuzo kama hizo asubiri kwetu bububu wanatoa Kila mwez wa 2Bibi nae alikuwa binti. Tunatumia taswira yake ya kipindi ni msichana.
Ameeen tutafungua mpaka visivyofunguliwa 😁🤣🤣 Lets hope for the comin year.. Year 2024 will be the best.. tutafungua mpk tutafungua tenaaa
Sema Ameeen 😂😂😂
Kuna kitu nimesema kwa sauti ya chini😂Ahsante… hahaaa nacheka sanaaaaa
Me mwakani naombea watu kitu njaa isiwe portion yao.
🤣🤣 boraaKuna kitu nimesema kwa sauti ya chini😂
😂😂 ni ganii!! Visivyofunguliwa?Ameeen tutafungua mpaka visivyofunguliwa 😁
Hayanaga mwongozo jamani!Ni aibu 🤣🤣🤣
Vile ambavyo mpaka vifunguliwe vingine kwanza😂😂 ni ganii!! Visivyofunguliwa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 AiseeHivi vigezo vya Miss vimebadilika?
I can imagine some of them ni mafurushi. Catwalk zao zinahitaji heels zenye unene wa nchi saba.
Mamiss used to be portable, soft skin, miguu ambayo vijana huita ya bia, nk
Hebu fikiria tu Litukunyema Faiza likipita, Yesu wangu!.....