Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
Bila picha hainogi! 😃
 
Za kupotea nkamu?

➡️➡️➡️ Mimi nachukuguliaga haya mashindano ya urembo kama udhalilishaji - kupalilia ile dhana kwamba mwanamke ni pambo tu na chombo cha starehe hapa duniani.
Wengine tumenyamaza tu maana, siri ya mtungi imo😂
 
Hivi vigezo vya Miss vimebadilika?

I can imagine some of them ni mafurushi. Catwalk zao zinahitaji heels zenye unene wa nchi saba.

Mamiss used to be portable, soft skin, miguu ambayo vijana huita ya bia, nk

Hebu fikiria tu Litukunyema Faiza likipita, Yesu wangu!.....

Ndo maana nauchukia unene[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri unanuachia kwa muda. Baadae nakuona unakitaka cheo chako.

Unavuna madhambi zaidi. Nitakubamba nikurudishie. Acha niwe nayo.

Bi Chau akifika tu hapa, nina uhakika unamparua 🤣🤣
Kumbe unafuatiliaga nyayo zangu mkuu😂😂
Siku hizi mimi mtu mpya, fujo nimemwachia dogo langu mshamba_hachekwi
Mimi ni kiumbe kipya sasa😂😂
 
Back
Top Bottom