Kwa kweli nipo tayari kutoa password yangu ya Benki kwaajili yake ๐Nilikwambia babu ohh ๐น๐น๐น
Mimi nilikuwa Miss JF ChitChat 2012...
Hongera kwa kuukubali ukweli. Hakuna kitu kizuri kama kujua nyakati zako.Wengi hushindana na nyakati halafu wanafikiri watazishinda!Sahv nishakuwa mshangazi, nyama za mwili zishashuka, nabaki kutoa ushauri tu
Kabisa.Hongera kwa kuukubali ukweli. Hakuna kitu kizuri kama kujua nyakati zako.Wengi hushindana na nyakati halafu wanafikiri watazishinda!
Igweeeeeeeee ๐น๐นKwa kweli nipo tayari kutoa password yangu ya Benki kwaajili yake ๐
Manyanza my friend mimi kwenye hata top 50 siingii๐๐๐๐๐๐bora tu nimesahaulika๐๐๐๐Aanze upya kakosea unamuacha vipi ledada , Makiwendo , financial services Cute Wife ???
Robert Heriel Mtibeli soma maoni yetu na uboreshe.
Hapana bhana wewe wasema lakini mafans wako tunajua how important you are ? ๐๐๐Manyanza my friend mimi kwenye hata top 50 siingii๐๐๐๐๐๐bora tu nimesahaulika๐๐๐๐
Hajafanya powaa Mtiberi ๐๐๐ atakuachaje Mamaa Some foodiesis wengine tushajizeekea hata retinol usoni hazikubali
Wamekudhalilisha kabisaYaani nikagombee na wajukuu? Niondoe chap
Subiria shondano la.mishangaziMiss Natafuta mmemuacha mbona
Lucha natumaini umeniita kwenye Ile ishu yetu ya ulinzi huku kwenye ulimbwende unajua sipo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kumbe nina mafans๐๐๐eeehHapana bhana wewe wasema lakini mafans wako tunajua how important you are ? ๐๐๐
Nilizani wewe ni mwanaume ๐Ndo hivyo karibu choodaaaView attachment 3134294