Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli nipo tayari kutoa password yangu ya Benki kwaajili yake 😜Nilikwambia babu ohh 😹😹😹
Mimi nilikuwa Miss JF ChitChat 2012...
Hongera kwa kuukubali ukweli. Hakuna kitu kizuri kama kujua nyakati zako.Wengi hushindana na nyakati halafu wanafikiri watazishinda!Sahv nishakuwa mshangazi, nyama za mwili zishashuka, nabaki kutoa ushauri tu
Kabisa.Hongera kwa kuukubali ukweli. Hakuna kitu kizuri kama kujua nyakati zako.Wengi hushindana na nyakati halafu wanafikiri watazishinda!
Igweeeeeeeee 😹😹Kwa kweli nipo tayari kutoa password yangu ya Benki kwaajili yake 😜
Manyanza my friend mimi kwenye hata top 50 siingii😂😂😂😂😂😂bora tu nimesahaulika😂😂😂😂Aanze upya kakosea unamuacha vipi ledada , Makiwendo , financial services Cute Wife ???
Robert Heriel Mtibeli soma maoni yetu na uboreshe.
Hapana bhana wewe wasema lakini mafans wako tunajua how important you are ? 😃😃😃Manyanza my friend mimi kwenye hata top 50 siingii😂😂😂😂😂😂bora tu nimesahaulika😂😂😂😂
Hajafanya powaa Mtiberi 😃😃😃 atakuachaje Mamaa Some foodiesis wengine tushajizeekea hata retinol usoni hazikubali
Wamekudhalilisha kabisaYaani nikagombee na wajukuu? Niondoe chap
Subiria shondano la.mishangaziMiss Natafuta mmemuacha mbona
Lucha natumaini umeniita kwenye Ile ishu yetu ya ulinzi huku kwenye ulimbwende unajua sipo🤣🤣🤣
Kumbe nina mafans😂😂😂eeehHapana bhana wewe wasema lakini mafans wako tunajua how important you are ? 😃😃😃
Nilizani wewe ni mwanaume 🙌Ndo hivyo karibu choodaaaView attachment 3134294