Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nisome nini na hiki ndicho ulicho andika??I
Nimepata kazi
Nimepata mume
Na nyumba yangu inakamilishwa
Soma uzi uliopita, sio unakurupuka ili mradi nawe uonekane umechangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisome nini na hiki ndicho ulicho andika??I
Nimepata kazi
Nimepata mume
Na nyumba yangu inakamilishwa
Soma uzi uliopita, sio unakurupuka ili mradi nawe uonekane umechangia.
Hongera sana mkuu
Asanteni sanaHongera sana.
hataki kuonyesha heshima kwa raisi wa ma jobless pro max 😂 🤣Fungu la 10 kabisaa😂🙌🏿
Achana nao hao wavimba machoAsanteni sana
Nilikatishwa sana tamaa.
Ila wakati wa Mungu umefika na nimeona ukuu wake
Asante sana mkuu.Hongera mkuu
Siwezi jibishana na mbumbumbu anayetafuta attention jukwani.Nisome nini na hiki ndicho ulicho andika??
AminaAchana nao hao wavimba macho
Akiwa vizuri atatoa heshima tu😂hataki kuonyesha heshima kwa raisi wa ma jobless pro max 😂 🤣
Nasimama na wewe kinyume Mwachi,Hakuna mtu wakukutafuta bhna tunawajua watu wa humu
Una shobo balaaRaisi wa ma jobless pro max, aki shangaa mwanachama kupata kazi, ndoa na nyumba kujengwa ndani ya wiki 2 na nusu
View attachment 3218092
Sijaktaa ila tuishie hapoNasimama na wewe kinyume Mwachi,
Huwajui watu wa humu abadani,
kuna watu bora sana sana humu ndani, na kuna watu wa ovyo haijawahi tokea..!! hivyo nikuhakikishie watu WEMA wapo kibao tena sana..!!
Case closed 🔒Attention Seeker
Mtanivunja mbavu 😅Dear, anayekarabati nyumba baadae apangishe ni huyo huyo shemeji ama umepata watu watatu tofauti? Wa kazi, wa nyumba na ndoa?