Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
chai🤣😂, nashangaa Mrs baggage kaanza kuni shambuliaKwani stori ni ya kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chai🤣😂, nashangaa Mrs baggage kaanza kuni shambuliaKwani stori ni ya kweli?
Sindikiza na ka picha madam ka nyumbaIla watu wa humu, aiseeee🙌🙌🙌🙌
Anyway, turejee uzi wangu huu
Kiufupi wengi walikuwa pamoja nami katika kipindi kifupi kilichopita cha msoto wa kutafuta kazi na mengineyo.Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua
Habari wana Jf kwa ujumla. Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max. Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha. First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi...www.jamiiforums.com
Wapo walionisaidia kwa moyo mmoja (hawa nawashukuru sana sana)
Na wapo waliotaka mambo yao binafsi (Mungu awasamehe).
Kiufupi nimepata kazi baada ya kupita vizuri kwenye interview (sisemi kazi gani maana humu wachawi wa maendeleo mmejaa kibao)
Na kuhusu nyumba yangu, nimepata mtu ambaye kasema ataimalizia kwa gharama zake kisha atapanga ili kufidia gharama alizotumia kuimalizia, nimeona sawa na tumeandikishiana na sasa ameshaanza kuikamilisha.
Ninachotaka kuwaambia tu wana JF
Msikariri maisha na msijaribu hata siku moja kumkatisha mtu tamaa kwa hali aliyoipitia au anayoipitia.
Mungu ndiye agawaye na apokonyae riziki.
Mlinisimanga sana na kunipa kila aina ya matusi ila yote niliyapokea na kuyafanyia kazi ili kuona wapi panahitaji marekebisho.
Wanakwambia tumia dharau zao kujifunza zaidi ulipokosea...pia hawa nao nawashukuru kwani walinipa chachu ya kuendelea kupambana.
Na lingine la mwisho, nimempata mzee mwenzangu, na Mungu akijalia kheri mwezi wa 6 nafunga ndoa takatifu ya kikristo.
Na nilishamueleza maisha niliyopitia huko nyuma, hivo sitaki kukumbushwa.
Ila kikubwa ninachowaambia wanawake wenzangu MSIKATE TAMAA, Jf wapo watu wengi sana sana sana wenye mioyo ya huruma na upendo wa kusaidia wengine ila tu, huwezi kuwaona kwa macho mpaka upate shida.
Nimepata kazi
Nimepata mume
Na nyumba yangu inakamilishwa.
WAKATI WA MUNGU, NI WAKATI SAHIHI.
NITALISIFU JINA LAKE MILELE.
MHUBIRI 3:1
View attachment 3218096View attachment 3218095
Uzuri nimeshaweka kipenzi.Fanyaa mpng madam kama ujaweka grill Bado Kwa hyo nyumba unipee kazi,chagua hapo aina ya grill ulitakalo😀😀😀😀View attachment 3218127
Aisee nimecheka sanaRaisi wa ma jobless pro max, aki shangaa mwanachama kupata kazi, ndoa na nyumba kujengwa ndani ya wiki 2 na nusu
View attachment 3218092
Sheikh, huyo Mzee siyo mimi tafadhali. Mimi nipo kwenye mikono salama ya SweetyCandy.Huyo mzee mwenzako uliyempata sio Tate Mkuu kweli?
Eti wewe ni mfupi mnene sema bossySheikh, huyo Mzee siyo mimi tafadhali. Mimi nipo kwenye mikono salama ya SweetyCandy.
Niamini mimi! Hakuna Msambaa mfupi na mnene babe! Sisi Wasambaa wote ni warefu, weupe na wembamba.Eti wewe ni mfupi mnene sema bossy
Ya white house au ya Taj mahal
Uwiii😆Sheikh, huyo Mzee siyo mimi tafadhali. Mimi nipo kwenye mikono salama ya SweetyCandy.
Nizaliwa usambaani vuga babe mime mmasai eti sweety nawajua sana so no worry ukiwa mfupi usiwe sanaa watoto wasiwe kavitunguu majiNiamini mimi! Hakuna Msambaa mfupi na mnene babe! Sisi Wasambaa wote ni warefu, weupe na wembamba.
Sawa mzee wanguSheikh, huyo Mzee siyo mimi tafadhali. Mimi nipo kwenye mikono salama ya SweetyCandy.