Miss Natafutwa nimeshapata Kazi, Asanteni wote mlionipambania ❤️❤️❤️

Dear, anayekarabati nyumba baadae apangishe ni huyo huyo shemeji ama umepata watu watatu tofauti? Wa kazi, wa nyumba na ndoa?
Hapana mpenzi.
Nyumba ni yangu, nilijenga kitambo ila haikuwa imekamilika.
Nilitaka kuiuza ili angalau nipate unafuu wa maisha, ila nikasema Hapana, huenda nitapata wazo.
Hivo nikaamua nitafute kazi ila nisipopata ndipo niiuze, ila nashukuru Mungu kazi nimepata. Na nyumba nimeingia mkataba na mtu wa kupanga ila anaimalizia kwanza kisha tutaangalia gharama.
 
Haya Wana jf mshamalizana na hyu dada njooni kwangu sasa
 
m mbonabkama unawasuta watu humu
 
Nasema tena.........kama ni used basi ya dubai ........dada mnato unao..........watu hawawezi ku fund kirahisi rahisi tu...........nasema tena mabano unayo na kingo zipo tukijipimia na vibamia vyetu tunajisikia ..........hongera kwa kuitunza na kuitumia kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…